Trending Stories
View All
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa ikiwa ni mzunguko wa tatu umeanza kutimua vumbi kabla ya leo…
SIMBA YAIPIGA 4G BIASHARA UNITED KWA MKAPA
KIKOSI cha Simba leo kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck kimeibuka na ushindi wa mabao 4-0 mbele ya Biashara United…
SABABU YA MUANGOLA WA YANGA KUANZIA BENCHI HII HAPA
KOCHA Mkuu wa Yanga Mserbia, Zlatko Krmpotic amesema kuwa kiungo wake raia wa Angola, Carlos Fernandes ‘Carlinhos ana nafasi ya…
VPL: SIMBA 2-0 BIASHARA UNITED
Simba 2-0 Biashara United Imeongezwa dakika 1 Dakika 45 zimekamilika Dakika ya 36 Bwalya anapewa huduma ya kwanza Dakika…
KIKOSI CHA BIASHARA UNITED KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA
LEO Biashara United, Septemba 20 inamenyana na Simba mchezo wake wa kwanza ugenini kwa msimu wa 2020/21 baada ya kucheza…
YONDANI BEKI KISIKI HUYO NAMUNGO
KELVIN Yondani beki kisiki aliyekuwa anakipiga ndani ya Yanga msimu uliopita inaelezwa kwa sasa ni mali ya Namungo FC…
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA BIASHARA UNITED
KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Septemba 20 dhidi ya Biashara United Uwanja wa Mkapa mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mshambuliaji…
AZAM FC YAINYOOSHA KWA BAO 1-0 MBEYA CITY
ALLY Niyonzima nyota mpya wa Azam FC aliyeibukia huko akitokea Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda leo amepachika bao…
SARPONG WA YANGA AWAKIMBIZA NYOTA WOTE WA SIMBA
ZIMEBAKI takribani siku 28 kwa sasa kufika Oktoba 18 tushuhudie miamba ya soka Bongo, Yanga na Simba ikipambana kwenye…
SVEN AWAPA MBINU MPYA WACHEZAJI WAKE KUIMALIZA BIASHARA UNITED
KIKOSI cha Simba, leo Septemba 20 kitakuwa nyumbani Uwanja wa Mkapa jijini Dar kupambana na Biashara United. Mchezo wa leo…
YANGA WAREJEA DAR, HESABU ZAO ZIPO KWENYE KOMBE TU
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa hesabu kubwa ndani ya Ligi Kuu Bara ni kuweza kutwaa ubingwa ambao waliokusa kwa misimu…
SAMATTA AINGIA ANGA ZA FULHAM
KLABU ya Fulham inayoshiriki Ligi Kuu England ‘Premier’ imeingia katika vita ya kumsajili mshambuliaji, Mtanzania, Mbwana Samatta anayekipiga Aston Villa.…
ALIYEWATUNGUA MANULA NA KAKOLANYA ATUMA UJUMBE HUU SIMBA
GERALD Mdamu, nyota mpya wa Biashara United ambaye aliibuka huko akitokea Klabu ya Mwadui FC amesema kuwa wapo tayari…
AZAM FC KIKAANGONI NDANI YA DAKIKA 180
KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Aristica Cioaba leo kina kazi ya kuanza kuzimega dakika 180 za moto ugenini baada…
MAJEMBE MAPYA POLISI TANZANIA YAWEKA REKODI YA KIBABE VPL
RASHID Juma, nyota wa Polisi Tanzania ambaye yupo hapo kwa mkopo akitokea Klabu ya Simba ameweka rekodi ya kibabe ndani…