Trending Stories
View All
SARPONG ACHEKELEA KUIBUKIA YANGA, ATOA AHADI HII
MICHAEL Sarpong mchezaji mpya wa Klabu ya Yanga amesema kuwa anafurahi kujiunga na Yanga na anaamini kwamba atapambana kufikia malengo…
KOCHA MPYA BARCA AWAFUNGULIA MLANGO SUAREZ, BUSQUETS, JORDI ALBA
IMERIPOTIWA kuwa, kocha mpya wa Barcelona, Ronald Koeman, amewafungulia njia ya kutokea mastaa watatu wakubwa wa timu hiyo ambao…
ILE ISHU YA RUSHWA INAYOMKABILI MAGUIRE NCHINI UGIRIKI
MYKONOS, Ugiriki NAHODHA wa Manchester United, Harry Maguire, anatuhumiwa kutoa rushwa kwa polisi baada ya kukamatwa nchini Ugiriki ambapo…
KUMBE ARSENAL HAWAJAMPA AUBAMEYANG OFA YOYOTE….
LONDON, England PIERRE-Emerick Aubameyang ameibuka na kusema kwamba bado hajapewa ofa yoyote ya mkataba mpya na klabu yake ya…
AZAM FC KUKIWASHA LEO, MAJEMBE MAPYA KUTAMBULISHWA, KIBA ANA JAMBO LAKE
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa leo kwenye kilele cha Tamasha la Azam Festival mbali na kuwatambulisha wachezaji wapya…
BERNARD MORRISON ‘AWACHETUA’ MASHABIKI WA SIMBA
BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji wa Simba ameanza makeke yake ndani ya klabu hiyo mpya kwa kuweka rekodi kwenye mchezo wake…
MTIBWA SUGAR YAMALIZANA NA MAJEMBE HAYA MATATU
KLABU ya Mtibwa Sugar yenye maskani yake Morogoro huku ikitumia Uwanja wa Gairo kwa mechi za nyumbani ambazo hazina idadi…
HAYA HAPA MAJEMBE SABA YA KAZI YATAKAYOTAMBULISHWA LEO NDANI YA AZAM FC
LEO Agosti 23, Uwanja wa Azam Complex ni kilele cha Azam Festival ambapo inatarajiwa kuchezwa mechi ya kirafiki kati…
BEI YA SANCHO YAWAKATISHA TAMAA MANCHESTER UNITED
IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Manchester United imekata tamaa ya kupata saini ya nyota, Jadon Sancho mpaka msimu ujao kwa kuwa…
YANGA YANUNUA MABAO 50 BONGO,BWALYA NI MTU NA NUSU, NDANI YA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
KUMBE HII NDIO SUPRISE YA SIMBA, MONDI APIGA SHOW MOJA MATATA KWA MKAPA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Nasib Abdul, Diamod leo Agosti 22 ameweka rekodi yake kwa kutumbuiza mbele ya mashabiki…
SIMBA 6-0 VITAL’0 YA BURUNDI, KIKOSI CHA KWANZA CHATUPIA MAWILI, CHA PILI MANNE
KLABU ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo Agosti 22, imeibuka na ushindi wa mabao 6-0 mbele…
RASMI BOSI SIMBA AANZA KAZI YANGA
SENZO Mbata, aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Simba, leo Agosti 22 ameibuka ndani ya Uwanja wa Chuo cha Sheria kuwaona wachezaji…
KESHO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA MWENDO WA KUSAKA REKODI
KESHO Agosti 23 itapigwa fainali ya kibabe kati ya mabingwa wa Ufaransa PSG dhidi ya mabingwa wa Ujerumani, Bayern Munich.…
SABABU YA YANGA KUTOCHEZA NA SEVILLA KILELE CHA WANANCHI HII HAPA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mpango mkubwa kwenye kilele cha Wiki ya Wanachi, Agosti 30 ilikuwa ni kucheza dhidi…
AZAM FC WANA JAMBO LAO KESHO, KINGKIBA, MSAGA SUMU NDANI
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mashabiki wasikose kesho kujitokeza kwa wingi Uwanja wa Azam Complex kwenye kilele cha Azam…