Trending Stories
View All
KOCHA COASTAL UNION AWAPA KAZI YA KUFANYA WACHEZAJI WAKE
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa wachezaji wake ni lazima wafanya mazoezi ili kulinda uwezo wao walionao…
LUSAJO AJIPA MUDA WA WIKI MOJA KABLA YA KUANZA KUJINOA
NYOTA wa timu ya Namungo, Reliants Lusajo amesema kuwa kwa sasa amejipa muda wa wiki moja kupumzika kabla ya kuanza…
SIMBA YAIPOTEZA MAZIMA YANGA
SAFU ya ushambuliaji ya Simba iliyo chini ya Meddie Kagere imevunja rekodi ya mabao yaliyofungwa na Yanga msimu uliopita 2018/19.Yanga…
HIMID MAO: VIWANJA VYA NDEGE VIMEFUNGWA KWA SASA HAKUNA RUHUSA YA KUTOKA
HIMID Mao, anayekipiga ndani ya ENPPI ya Misri amesema kuwa kutokana na Virusi vya Corona wamejifungia ndani na hakuna ruhusa…
CHAMA AKINUKISHA NDANI YA SIMBA, YUPO ZAKE ZAMBIA KWA SASA
IMEELEZWA kuwa nyota wa Simba, Clatous Chama amegoma kuongeza kandarasi ndani ya klabu yake hiyo kwa ajili ya kuendelea kuitumikia…
JOSE MOURINHO ATOA SAPOTI KWA WAZEE WALIOPO KARANTINI
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham ametoa msaada wa chakula kwa wazee wa kituo cha Your Door Step kilichopo Enfield.…
WAKALI WA KUTUPIA MABAO 11 WOTE NI WAZAWA, WAWILI WANA KITAMBAA CHA UNAHODHA
KWA wachezaji walio kwenye mwendo wa kutupia mabao 11 ni watatu na wote ni wazawa ambapo wawili kwenye timu zao…
ASTON VILLA INA KAZI YA KUFANYA LIGI KUU ENGLAND ITAKAPOREJEA
ASTON Villa, klabu anayokipiga Mbwana Samatta nahodha wa Tanzania ndani ya Ligi Kuu England imejikusanyia pointi 25 baada ya kucheza…
WACHEZAJI WA MTIBWA SUGAR WAPEWA KAZI YA KUWA MABALOZI
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umewataka wachezaji wao kuwa mabalozi wazuri kipindi hiki cha mapumziko maaalumu kwa ajili ya kupisha maambukizi…
KOCHA NAMUNGO AWAPA PROGRAMU MAALUMU WACHEZAJI WAKE
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Namungo amesema kuwa amewapa programu wachezaji wake wakati huu wa mapumziko ili kuona wanalinda vipaji…
NYONI SASA KUUNGANA NA WACHEZAJI WENZAKE BAADA YA MAPUMZIKO KUISHA
BEKI mkongwe ndani ya Klabu ya Simba, Erasto Nyoni amesema kuwa anaamini kuwa atajumuika na wachezaji wenzake kwenye mazoezi ya…
WACHEZAJI LIGI KUU BARA WAPEWA DARASA NAMNA YA KULINDA VIPAJI VYAO
NADIR Haroub, ‘Cannavaro’, Meneja wa timu ya Taifa ya Tanzania amewapa darasa wachezaji wanaokipiga Ligi Kuu Bara kuacha kubweteka kipindi…
AZAM FC YASAKA DAWA YA UBUTU WA SAFU YA USHAMBULIAJI ILIYO CHINI YA CHIRWA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa tatizo kubwa linaloimaliza timu kwa sasa ni ubutu wa safu yao ya ushambuliaji inayoongozwa…
DIDA ABEBA MATUMAINI YA KUTOSHA NDANI YA LIPULI FC
DEOGRATIUS Munish, ‘Dida’ mlinda mlango wa Lipuli amesema kuwa bado kikosi chao kina nafasi ya kufanya vizuri kwenye Ligi Kuu…
KUMBE MABEKI SIMBA WALIKAMIA MCHEZO WAO MBELE YA YANGA, MSHAMBULIAJI ALIYEWAPA TABU ASIMULIA
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Ditram Nchimbi amesema kuwa miongoni mwa sababu zilizoifanya timu yake kusepa na pointi tatu mbele ya Simba…
MTAMBO MMOJA WA SIMBA WAWAPOTEZA NYOTA TISA NDANI YA YANGA
MABAO 19 ya mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere yamewapoteza nyota tisa wa kigeni wanaokipiga ndani ya Yanga kwa sasa.Kagere akiwa…