Trending Stories
View All
HOFU YA WACHEZAJI KUPATA MAJERAHA YAONGEZEKA IWAPO LIGI YA ENGLAND ITAMALIZIKA JUNE 30
MADAKTARI wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England wamewaonya mabosi wa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England kwamba wanapaswa wajiandae na kesi…
SABABU ZA MBAO FC KUWEKWA SOKONI HII HAPA
SOLLY Njashi Mwenyekiti wa Mbao FC ya Mwanza amesema kuwa wameamua kuiuza timu hiyo kwa mtu yeyote ambaye atakuwa tayari…
NYOTA WA STARS ANASHINDA NDANI NCHINI MISRI KISA KORONA
HIMID Mao, nyota wa timu ya Taifa ya Tanzania anayekipiga soka la kulipwa nchini Misri kwenye Klabu ya ENPPI amesema…
NCHIMBI: PROGRAMU YA KOCHA MKUU ITANIRUDISHA KWENYE UBORA WANGU
DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa amepewa programu maalumu na Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael kwa kipindi hiki…
AKILI ZA MBELGIJI WA YANGA EYMAEL ZIPO NAMNA HII
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa kuna umuhimu wa kikosi chake kuwa na makali ya kushindana na timu…
KANE APIGWA STOP KUSEPA NDANI YA SPURS
MKONGWE ndani ya Liverpool, John Barnes amemshauri staa wa Tottenham Hotspur, Harry Kane kubaki ndani ya timu hiyo.Kumekuwa na taarifa…
MANCHESTER UNITED WAIPIGIA HESABU SAINI YA NYOTA GREALISH WA ASTON VILLA
NAHODHA wa kikosi cha Aston Villa, Jack Grealish amewekwa kwenye hesabu kali za kutua ndani ya Klabu ya Manchester United…
MUUAJI WA SIMBA AMTAJA MKE WAKE KUHUSIKA KWENYE MABAO YAKE YOTE NDANI YA YANGA
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa anatupia mabao kutokana na maombi anayofanyiwa na mke wake pamoja na mwanae.Morrisson…
KAGERE AFUNGUKIA KILICHO NYUMA YA MABAO YAKE
MTAMBO wa kutupia ndani ya Simba, Meddie Kagere amesema kuwa chanzo kikubwa cha yeye kufunga hat trick kwenye mechi zao…
NAMUNGO WABISHI KWELI, CHEKI WANAVYOKULA SAHANI MOJA NA YANGA
TIMU ya Namungo iliyo chini ya Kocha Mkuu, Hitimana Thiery imeshinda idadi ya mechi 14 ambazo ni sawa na ilizoshinda…
MTAMBO WA MABAO NDANI YA AZAM FC AINGIA KWENYE RADA ZA YANGA
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Yanga upo kwenye mpango wa kumrejesha kundini mshambuliaji wao wa zamani Obrey Chirwa anayekipiga ndani ya…
SIMBA SASA WAANZA KUMVUTIA KASI NYOTA ANAYEKIPIGA MALAYSIA
KIPRE Tchetche, nyota wa zamani wa Azam FC anayekipiga Klabu ya Kedah inayoshiriki Ligi Kuu ya Malaysia amewekwa kwenye rada…
WATATU WAGUNDULIKA NA CORONA NDANI YA JUVENTUS, HALI BADO HAIJAWA SHWARI
MSHAMBULIAJI wa Juventus, Paulo Dybala anakuwa mchezaji wa tatu kugundulika na Virusi vya Corona ndani ya timu hiyo inayoshiriki Ligi…
YANGA YAINGIA ANGA ZA MZAWA HUYU KUWA MBADALA WA UBUTU WA SAFU YA USHAMBULIAJI
IMEELEZWA kuwa mshambuliaji mzawa namba moja ndani ya Namungo FC, Reliants Lusajo amewekwa kwenye rada na mabosi wa Yanga ili…
KOCHA MTIBWA SUGAR: TAHADHARI YA CORONA NI LAZIMA IFUATWE NA WATU WOTE
KOCHA Mkuu wa timu ya Mtibwa Sugar, Zuber Katwila amesema kuwa ni lazima kila mmoja achukue tahadhari ya kujikinga na…
MKUDE ATOA TAMKO KUHUSU HATMA YAKE NDANI YA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya Simba amesema kuwa bado ataendelea kulitumikia Taifa lake la Tanzania iwapo atapewa nafasi ndani…