Trending Stories
View All
ABDI BANDA YUPO SALAMA HANA CORONA
IMEELEZWA kuwa beki wa Highlands Park ya Afrika Kusini, Abdi Banda ameruhusiwa kurejea mazoezini baada ya kungundulika kwamba hana ugonjwa…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa U KURASA wa MBELE Gazeti la CHAPIONI Jumatano, nafasi ni kuwa ya kusepa na ndinga mpya kabisa
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA KWA SASA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Bara upo namna hii
NYOTA HAWA WANNE WA SIMBA WAMEHUSIKA KWENYE MABAO 38 KATI YA 63 NAMNA HII
NYOTA hawa Simba wamehusika kwenye mabao 38 kati ya 63 yaliyofungwa na Simba kwenye mechi 28 ambazo wamecheza. John Bocco nahodha…
KILIO CHA SHIME KINA MENGI, KICHAPO CHA MABAO 5-0 IWE FUNDISHO
BAKARI Shime, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake ameshuhudia vijana wake chini ya miaka 17 wakipoteza kwa kichapo…
NYOTA 11 NDANI YA YANGA WAWEKWA KIKAANGONI
NYOTA 11 ndani ya kikosi cha Yanga inaelezwa kuwa mikataba yao inafika ukingoni mwishoni mwa msimu huu huku panga likiaandaliwa…
HATA YA NYOTA SITA WA SIMBA MIKONONI MWA MBELGIJI, WAWILI HATIHATI KUPIGWA CHINI MAZIMA
IMEELEZWA kuwa nyota sita ndani ya klabu ya Simba mikataba yao inakaribia kumeguka huku nafasi za wengine kubaki zikiwa mikononi…
CHIRWA NDIO BABA LAO AZAM FC, CIOBA AKERWA NA UBUTU WA SAFU YAKE YA USHAMBULIAJI
OBREY Chirwa, nyota wa Azam FC ndiye mcheka nyavu anayewakimbiza wote ndani ya klabu hiyo kwa kutupia mabao.Azam FC ikiwa…
MANCHESTER UNITED YAKUBALIANA NA MATIC KWA DILI LA MWAKA MMOJA
MABOSI wa Manchester United wamekubaliana na nyota wao Nemanja Matic ambaye ameongeza mkataba wake kuendelea kuitumikia klabu hiyo. Nyota huyo…
HAYA NDIYO MAISHA YAO NDANI YA SIMBA KWA SASA, REKODI ZIPO HIVI
NYOTA wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, kushoto ni Haruna Shamte yeye amesajiliwa na kikosi hicho akitokea Klau ya…
UEFA YASIMAMISHWA MPAKA 2021
UEFA imesitisha michuano hiyo ndani ya mwaka huu 2020 mpaka 2021 kutokana na mlipuko wa ugonjwa wa Corona.Kutokana na kuenea…
MASHINDANO YA DIPLOMATIC GOLF MSIMU WA PILI KUANZA MEI 30
MASHINDANO ya Diplomatic Golf msimu wa pili yanayoratibiwa na Kampuni ya Tanzania Mwandi kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya…
ISHU YA LIGI KUSIMAMISHWA SIMBA WAIGUSIA, WAICHOKONOA KIANIA KLABU NYINGINE
HAJI Manara amesema kuwa masha ya Watanzania ni muhimu kuliko mpira lakini ana imani kwamba utaratibu upo wazi.Serikali imesimamisha masuala…
TAMKO LA SERIKALI KUHUSU KUSIMAMISHWA KWA LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA
KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa wanasitisha masuala yote yanayohusu mikusanyiko ya…
HIVI HAPA VIGINGI 11 VYA YANGA MSIMU HUU WA 2019/20
IKIWA imecheza mechi 27 na kujiwekea kibindoni jumla ya pointi 51, Yanga imebakiza vigingi 11 ili kukamilisha mzunguko wa pili…
BREAKING: LIGI KUU BARA, LIGI DARAJA LA KWANZA YASIMAMISHWA KWA MUDA
LIGI Kuu Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi ya Wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko ya watu…