Trending Stories
View All
KMC YAMALIZA HASIRA ZA SIMBA KWA KUTEMMBEZA KICHAPO DAKIKA 360, YANGA NAO WAONJA JOTO LA JIWE
BAADA ya kupoteza kwa kufungwa mabao 2-0 mbele ya Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Machi Mosi, KMC imemaliza…
YANGA YAPAGAWA NA POINTI MOJA ILIYOAMBULIA NDANI YA DAKIKA 180
BEKI wa Kulia wa Yanga amesema kuwa kitendo cha timu yake kuruhusu mabao kwenye mechi zao mbili ni hatari kwa…
SIMBA YAIPOTEZEA YANGA LIGI YA MABINGWA JUMLAJUMLA
BEKI wa Simba, Pascal Wawa, amefunguka kuwa kwa sasa wapinzani wao wakiwemo Yanga wanatakiwa kusahau juu ya kushiriki katika michuano…
BRUNO APIGA MKWARA MZITO KWAMBA MOTO WAKE BADO SANA
KIUNGO wa Manchester United, Bruno Fernandes amesema kuwa moto wake ndani ya klabu hiyo hautazima lazima afanye maajabu makubwa.Nyota huyo…
KAMBI YA TIMU YA JKT TANZANIA YAVUNJWA RASMI LEO
UONGOZI wa Klabu ya JKT Tanzania, leo Machi 18,2020 rasmi umevunja kambi yake kutokana na maelekezo yaliyotolewa jana na Serikali…
YANGA: TULIWABANA MBAVU NAMUNGO, WASHUKURU MWAMUZI
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwassa amesema kuwa Namungo FC washukuru bahati haikuwa yao kwani waliwabana mbavu na kushinda bao…
SASA LIGI KUU BARA KUCHEZWA BILA MASHABIKI UWANJANI
KIKAO cha Kamati ya Uongozi cha TFF kimeazimia kuwa, baada ya siku 30 Serikali itakaporuhusu michezo kuendelea, mechi za Ligi…
CHAN NA AFCON KUPANGIWA TAREHE, KAMBI YA STARS YAVUNJWA
MASHINDANO ya CHAN ambayo yanawashirikisha wachezaji wa ligi za ndani pamoja na yale ya Afcon yatapagiwa tarehe kulingana na hali…
MPANGO MKUBWA WA KUMALIZA LIGI KUU ENGLAND UPO NAMNA HII
IMEELEZWA kuwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu England zimepanga kumalizia msimu wa 2019/20 kwa kucheza mechi zao zilizobaki bila kuwa na…
KAMBI YA AZAM FC YAVUNJWA RASMI LEO MPAKA APRILI 17
KLABU ya Azam FC, leo Machi 18, 2020, imevunja rasmi kambi yake na kuwaruhusu wachezaji wote kurudi makwao. Taarifa rasmi…
WAWILI SASA NDANI YA JUVENTUS WATHIBITISHWA KUWA NA CORONA
KIUNGO Blaise Matuidi anayekipiga Juventus ya Italia inayoshiriki Serie A amepatikana na ugonjwa wa Corona. Klabu yake ya Juventus imethibitisha…
MBELGIJI WA YANGA AUKUBALI MUZIKI WA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa timu ya Simba ni miongoni mwa timu kubwa Bongo kutokana na uwezo…
ALIYEMBANA MEDDIE KAGERE ALIPEWA MBINU NA SIMBA WENYEWE
LAMINE Moro, beki kisiki ndani ya Yanga amesema kuwa alipewa mbinu na Simba wenyewe za kuwabana washambuliaji wao jambo ambalo…
MTIBWA SUGAR KUREJEA MORO LEO BAADA YA MCHEZO WAO DHIDI YA COASTAL UNION KUAHIRISHWA
TIMU ya Mtibwa Sugar ambayo leo ilikuwa ina mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union ya Tanga, Uwanja…
HUYU HAPA MWANAMICHEZO MWENZETU ALIYEGUNDULIKA NA CORONA TUMUOMBEE
Isabella ni mwanamichezo mwenzetu ambaye amegundulika na ugonjwa wa Virusi vya Corona. Amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri baada ya…
HAWA JAMAA WANABALAA LA KUCHEKA NA NYAVU
HAWA hapa wakali wa kucheka na nyavu msimu huu wa 2019/20 kwenye mechi zao za Ligi Kuu Bara namna hii:–Meddie…