Home Uncategorized BALAA LA LIGI KUU BARA KUENDELEA LEO, CHEKI RATIBA

BALAA LA LIGI KUU BARA KUENDELEA LEO, CHEKI RATIBA

0


KIVUMBI cha Ligi Kuu Bara kinaendelea Julai 15 leo ambapo timu sita zitakuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu.

Mambo yatakuwa namna hii:-

Ruvu Shooting v Mwadui FC, Uwanja wa Mabatini.

Lipuli v KMC, Uwanja wa Samora.

Biashara United v Polisi Tanzania,  Uwanja wa Karume.

Mechi zote zitapigwa saa 10:00 jioni.