Trending Stories
View All
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
MANCHESTER UNITED YAINGIA ANGA ZA BARCELONA, WAITAKA SAINI YA BEKI WA KATI UMTITI
SAMUEL Umtiti, beki wa kati wa Barcelona yupo kwenye hesabu za kusajiliwa na klabu ya Manchester United.Nyota huyo anatarajiwa kusajiliwa…
KINACHOIMALIZA MBAO FC NDANI YA LIGI CHAWEKWA BAYANA
UONGOZI wa Mbao FC umesema kuwa kinachoikwamisha timu hiyo kuwa na matokeo mazuri ni ukata unaoimaliza timu hiyo yenye maskani…
BEKI WA JUVENTUS RUGANI: SIKUWA NA DALILI ZA CORONA
DANIELE Rugani, beki wa Juventus amesema kuwa hakuwa na dalili zozote za Virusi vya Corona licha ya vipimo kuonyesha kuwa…
MTIBWA SUGAR YAACHANA NA ISHU YA GHARAMA WALIZOTUMIA TANGA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa umeachana na suala la kufikiria gharama walizotumia kujiaandaa kwa ajili ya mchezo wao dhidi…
SABABU YA AZAM FC KUWA NAFASI YA PILI NA SIO YA KWANZA IPO HIVI
MTENDAJI Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin Amesema kuwa marekebisho ya Uwanja wao wa Azam Complex yamechangia kwa kiasi chake…
MBELGIJI WA YANGA AACHIWA KAZI YA KUCHAGUA WACHEZAJI ANAOWATAKA
UONGOZI wa Yanga umempa makali Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Luc Eymael kufanya uchaguzi wa wachezaji ambao anaona watafaa kuendelea…
NYANDA ZA JUU PALE KUNANI NDANDA KWA SASA
NYANDA za Kanda za Juu Kusini kuna timu mbili ambazo zinapambana ndani ya Ligi Kuu Bara zikiwa kwenye mipango tofauti…
KOSAKOSA ZA KAGERE KWA YANGA BADO ZIPO KICHWANI MWAKE, HIKI HAPA AMESEMA
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa nafasi mbili alizomkosa mlinda mlango wa Yanga, Metacha Mnata kwenye dabi ya Kariakoo…
NAMNA TAMBWE ANAVYOTUONYESHA MAKOSA YA USAJILI KATIKA KLABU ZETU
NA SALEH ALLY SASA Yanga tayari imecheza mechi 27 za Ligi Kuu Bara na mchezaji anayeongoza kwa mabao ya kufunga…
LALA SALAMA UMUHIMU WA UMAKINI KWENYE LIGI ZOTE NI LAZIMA ILI KUEPUSHA JANJAJANJA
MSIMU wa 2019/20 wa Ligi Kuu Tanzania Bara taratibu unazidi kumeguka ikiwa kwa sasa timu nyingi zimebakiwa na mechi 10…
ISHU YA RAIS WA CAF KUTUA BONGO KUZINUFAISHA SIMBA NA YANGA
UJIO wa Rais wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf), Ahmad Ahmad hapa nchini utazipa matunda mazuri klabu kongwe nchini Simba…
DROO YA KWANZA JISHINDIE GARI NI JUMATANO, ZAWADI KIBAO KUTOLEWA
HATIMAYE ile siku iliyokuwa inasubiriwa kwa shauku kubwa na wanunuzi wa magazeti bora ya michezo Tanzania, Championi ambalo lipo mtaani…
SUALA LA CORONA TAHADHARI MUHIMU, TIMU ZIJIPANGE, FIGISUFIGISU HAZILETI AFYA KWENYE SOKA
MAMBO yanapozidi kuwa magumu inaelezwa kuwa kuna wepesi unakuja huu msemo upo kila siku kwenye maisha ila ukiutumia kwenye michezo…
VIONGOZI WA KLABU ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU ENGLAND KUKUTANA LEO, ISHU YA MIKATABA NAYO NI SHINIKIZO
IMEELEZWA kuwa nguvu kubwa kwa sasa inayotumika kuimaliza Ligi Kuu ya England kabla ya Juni 30 ni kutokana na kandarasi…
KUMBE FIRMINO ALITABIRIWA MAKUBWA TANGU MDOGO, WAZAZI WAKE WALIMZUIA KUCHEZA SOKA WAKIHOFIA ANGEKUJA KUWA KIBAKA
ROBERTO Firmino Barbosa de Oliveira, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Liverpool inaelezwa kuwa wazazi wake walikuwa hawataki kumuona akicheza…