MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne 

KUELEKEA SIMBA DAY MSIMU HUU..UONGOZI SIMBA WAJA NA HILI JIPYA

0
 KIKOSI Bora, hiyo ni kauli ya Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah 'Try Again' akiwataka mashabiki wao kukaa mkao wa...

BAADA YA KUMALIZANA NA YANGA..TSHISHIMBI AUTAKA URAIA WA TZ AICHEZEE TAIFA STRAS

0
Nahodha wa zamani wa Yanga, Papy Tshishimbi amevutiwa na maisha ya Tanzania na kusema yupo tayari kubadilisha uraia wake ilia pate nafasi ya kuichezea...

HUU HAPA MTAMBO WA MABAO YANGA…NABI ASHINDWE MWENYEWE TU KUUTUMIA

0
 JINA lake halikupewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye ardhi ya Tanzania ila alifanikiwa kuwaonyesha wengi maana halisi ya kile ambacho alikuwa nacho kwenye...

CHAMA RASMI NI MALI YABRS BERKANE YA MOROCCO

0
RASMI sasa Clatous Chama ni mali ya RS Berkane baada ya kuwaaga mashabiki wa Simba na kukubali kuanza changamoto mpya.Nyota huyo anaibuka nchini Morocco...

EXCLUSIVE: METACHA MNATA KUICHEZEA KMC MSIMU UJAO..DATA KAMILI HIZI HAPA

0
ALIYEKUWA kipa namba moja wa Yanga, Metacha Mnata anatarajia kuwa miongoni mwa nyota watakaovaa uzi wa KMC msimu ujao amejiunga na tumu hiyo akiwa...

KABWILI,FEISAL NA TONOMBE WAIVURUGA YANGA..KOCHA NABI AFUNGUKA SAKATA ZIMA

0
Kocha wa Yanga Nesreddine Nabi amesema kutakiwa kuondoka kwa wachezaji wake nane katika kambi yao kimemuumiza kichwa na kwamba anahofia muda mfupi wa maandalizi...

HII SIMBA YA MSIMU UJAO TEMA MATE CHINI AISEE..HUKU KUNA BANDA KULE SAKHO..LITAKUFA JITUU

0
KAMBI ya Simba imenoga baada ya kiungo fundi wa mpya, Saido Kanoute akitua na kulimsha mapema pamoja na wenzake, usajili uliofanywa na mabosi wa...

RAIS SAMIA AMWAGA NEEMA KWENYE MICHEZO..SIMBU ATAJWA

0
Rais Samia Suluhu Hassan ameanika mipango ya Serikali kwenye michezo huku akieleza kwamba, wataendelea kutunisha mfuko wa maendeleo ya michezo."Tumeanza na Sh1.5 bilioni mwaka...

WACHEZAJI WA SIMBA NA YANGA KURUDI BONGO KWA NDEGE MOJA..SABABU HIZI HAPA

0
Baadhi ya nyota wa Simba na Yanga leo Agosti 23 wamegongana uwanja wa  ndege wa Mohamed V uliopo jijini Casablanca, Morocco na wote wanarudi...