LIONEL MESSI KUIBUKIA MANCHESTER CITY

0
BAADA ya taarifa rasmi  kutolewa na Klabu ya Barcelona Agosti 4 zikieleza kuwa, nyota wao Lionel Messi raia wa Argentina anaondoka klabuni hapo baada...

YANGA YATUA KWA MGHANA, MJADALA MO KUTISHIA KUSEPA SIMBA, NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa 

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa 

MTAMBO WA MABAO NDANI YA SIMBA UNATIMIZA MIAKA KADHAA LEO

0
 NI mfungaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ametupia mabao 16 na pasi mbili za mabao.Pia katika kabati lake kuna mpira mmoja ambao...

HILI HAPA CHAMA KAMILI LA YANGA, WANAOACHWA PIA WATAJWA

0
 YANGA haitaki masihara, tayari imekamilisha usajili wa baadhi ya wachezaji katika kuhakikisha wanafanya vema kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika. Baadhi ya wachezaji wa kigeni wameanza kutua nchini tayari kwa...

KAKA ANA TUZO KIBAO KABATINI MWAKE

0
 AMELETWA duniani Aprili 22,1982 ana umri wa miaka 39 ni raia wa Brazil jina lake anaitwa Ricardo Izecson dos Santos Leite ila jamii inamjua...

AZAM FC BADO IPO CHIMBO KUSHUSHA MAJEMBE YA KAZI

0
 UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba bado upo chimbo kwa sasa kuendelea kusaka majembe mapya kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22.Tayari Azam...

KAGERA SUGAR:TUTAFANYA USAJILI MZURI KUFIKIA MALENGO

0
 FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa watafanya usajili mzuri kwa msimu wa 2021/22 ili waweze kufikia malengo ambayo wanahitaji.Msimu huu Kagera...

AZAM FC KAZINI TENA LEO KOMBE LA KAGAME

0
 VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo kwenye Kombe la Kagame utakaocezwa Uwanja wa...

ARSENAL KUMCHOMOA KIUNGO MADDISON NDANI YA LEICESTER CITY

0
ARSENAL imetoa ofa kwa Leicester City ya kutoa fedha pamoja na mchezaji kati ya Hector Bellerin ama Eddie Nketiah ili kumpata kiungo James Maddison.Kwa...