WAJUMBE TFF WATEMBELE ENEO LA MRADI TANGA

0
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania,  (TFF) leo Agosti 6 walipata nafasi ya kutembelea Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Michezo...

MAKAMBO ABAINISHA KUWA AMEKUJA KUCHUKUA MAKOMBE

0
 “NIMEKUJA kufanya kazi.” ndilo neno pekee ambalo amelisema mshambuliaji mpya wa Klabu ya Yanga, Heritier Makambo tena kwa msisitizo mkubwa baada ya kusaini mkataba na kutambulishwa kuwa mchezaji mpya wa klabu hiyo. Makambo amerejea katika kikosi...

VIDEO:MAKAMBO, MAYELE WASEPA BONGO

0
NYOTA wawili wa Yanga ambao wamesaini madili mapya msimu huu wa 2021/22 wamesepa na kuibukia Congo kwa ajili ya mapumziko mafupi.Kwa upande wa makipa...

CHAMA KUMPA SAPOTI LUIS KUIBUKIA AL AHLY YA MISRI

0
 KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, amefunguka kuwa atamsapoti mchezaji mwenzake na rafiki yake mkubwa, Luis Miquissone ikiwa nyota huyo atafanya maamuzi ya kukubaliana na ofa ya kujiunga na Mabingwa wa Afrika, Al Ahly.Al Ahly wamekuwa wakiiwinda saini ya Luis kwa muda mrefu...

ISHU YA USAJILI YANGA YAPEWA ONYO

0
 TAYARI Yanga wameamua kuanza usajili kwa ajili ya msimu mpya wa 2021/22 ambao utakuwa na matarajio makubwa kwa Wanayanga. Nasema Wanayanga kwa kuwa Klabu ya Yanga inaendeshwa na nguvu za wanachama na linakuwa ni jambo...

LIONEL MESSI ALITUMIA MIAKA 20 BARCELONA

0
LIONEL Messi sasa msimu ujao atakuwa katika changamoto mpya baada ya mabosi wake Barcelona kutangaza rasmi Agosti 5 kwamba hatakuwa ndani ya kikosi hicho...

GREALISH AVUNJA REKODI YA USAJILI

0
USAJILI wa nyota wa Aston Villa ndani ya kikosi cha Manchester City , Jack Grealish ambaye amepewa dili la miaka sita akitokea kikosi cha...

KWA MAYELE NA DJUMA, YANGA IMEPATA WATU WA KAZI, SIMBA WAONYWA

0
 KOCHA Msaidizi wa AS Vita, Raoul Shungu ameibuka na kusema kuwa kitendo cha Yanga kuwanasa nyota wake wawili, mshambuliaji Fiston Mayele na beki Djuma Shaban basi ana uhakika wapinzani wao...

MSHAMBULIAJI NAMBA MOJA KMC AOMBA KURUDI SIMBA

0
MSHAMBULIAJI Charles Ilnfya ambaye alipelekwa kwa mkopo ndani ya KMC ili akuze kiwango chake, amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kurudi Simba ili kuendelea pale alipoishia.Nyota huyo ambaye alipewa...

AZAM FC YAWEKA REKODI TAMU KAGAME, KOCHA ATOA NENO

0
VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesma kuwa vijana wake wanastahili pongezi kwa kuweza kutinga hatua ya nusu fainali na wanatakiwa waendelee kutambua...