MANCHESTER UNITED BADO WANAAMINI WATAMPATA HAALAND
MANCHESTER United inaamini kwamba itafanikiwa kuipiga bao Chelsea kwa kumpata staa wa Borussia Dortmund, Erling Haaland.Haaland kwa sasa amekuwa akitajwa kuwa huenda akajiunga na...
U 23 MNASTAHILI PONGEZI, KAZI INAENDELEA KWA WAKUBWA
WAKATI mwingine tena ambao vijana wetu wa Tanzania wamefanya vizuri. Ilikuwa ni kwenye Cecafa U 23 iliyofanyika nchini Ethiopia.Kwa juhudi ambazo wamezifanya na kazi...
SONSO AJIFUNGA MWAKA MMOJA NDANI YA RUVU SHOOTING
KAZI imeanza kwa mabosi wa Ruvu Shooting baada ya kumpa dili la mwaka mmoja Ally Mtoni, ‘Sonso’ mkataba wa mwaka mmoja.Nyota huyo alikuwa anakipiga...
VIDEO:KISA MO, CHAMA KUONDOKA SIMBA
NYOTA wa Simba, Clatous Chama amesema kuwa anaweza kuondoka ndani ya timu ya Simba ikiwa atapata ofa kwa kuwa yeye kazi yake ni mpira.
YANGA KUTUPA KETE YE MWISHO, YAPANIA KUFUZU NUSU FAINALI
KIKOSI cha Yanga leo kinatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka pointi tatu kwenye mchezo wake wa tatu wa Kombe la Kagame, saa 10:00 jioni...
VIWIKO NDANI YA UWANJA MUDA WAKE UMEISHA
IMEKUWA kawaida kwa sasa wachezaji kupewa adhabu kutokana na ugomvi wanaoonyesha ndani ya uwanja. Sio kwa msimu huu ambao umemeguka hata ule uliopita mambo...
AZAM FC KUENDELEA PALE WALIPOISHIA
IDD Kipagwile na Paul Peter nyota wa Azam FC wana kazi ya kuendelea pale walipoishia kwa kutimiza majukumu yao watakapokuwa na kibarua cha kusaka...
CLATOUS CHAMA AFUNGUKA ISHU YA TUZO BONGO
CLATOUS Chama nyota wa Simba amesema kuwa anahitaji tuzo zake zote ambazo alisepa nazo msimu uliopita kwa kuwa anastahili.2019/20 kiungo huyo alisepa na tuzo...
YANGA YAINGIA ANGA ZA KIPA HUYU WA MALI
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye hesabu za kumalizana na kipa namba moja wa timu ya taifa ya Mali ili aweze kujiunga na timu hiyo...