MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
JACK GREALISH MZEE WA KUVUNJA REKODI
KWA sasa Jack Grealish ni mali ya Manchester City na amekabidhiwa jezi namba 10 ambayo ilikuwa inavaliwa na Sergio Arguero ambaye yupo Barcelona akiwa...
HASIRA ZA KUMKOSA HENOCK ZAWAFANYA YANGA KUKIMBILIA KIFAA HATARI CHA SVEN
BAADA ya beki Mkongomani, Henock Inonga kuingia tamaa na kusaini Simba, Yanga wamebadili gia haraka na kutua kwa kifaa kingine.Ni beki mahiri wa DR...
YANGA YAFUNGASHIWA VIRAGO KAGAME CUP, UWANJA WA MKAPA
KIKOSI cha Yanga leo kimefungashiwa virago kwenye mashindano ya Kagame Cup 2021 baada ya kupoteza mbele ya Express FC.Baada ya dakika 90 kukamilika ubao...
ORODHA YA MATOKEO YA KURA ZA WAJUMBE WA KANDA,TFF, TANGA
BAADA ya Wallace Karia kutangazwa kuwa mteule kwa nafasi ya Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na wajumbe kwa aslimia 100 zoezi la...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA EXPRESS, KAGAME CUP
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo dhidi ya Express, hatua ya makundi Cecafa Kagame Cup 2021, Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jioni.
KUMBE! SIMBA WALIMDAKA JUU MHILU NA KUMSAINISHA AKIWA NA MKATABA NA KAGERA SUGAR
MAPEMA tu Jumatano, Agosti 4, Simba ilimtangaza mzawa, Yusuph Mhilu ambaye ni kiungo mshambuliaji, kuwa mchezaji wao mpya akitokea Kagera Sugar.Mhilu amesaini dili la miaka mitatu kuitumikia Simba, huku akidaiwa kukunja zaidi ya...
VIDEO: TAZAMA NAMNA KARIA ALIVYOTANGAZWA KUWA MSHIDI NAFASI YA URAIS
MGOMBEA wa Urais, Wallace Karia leo Agosti 7 amepitishwa na wajumbe kwa asilimia 100 kuwa Rais Mteule wa TFF kweye uchaguzi ambao umefanyika Tanga.
KISA LUIS MIQUISSONE …CHAMA ATANGAZA KUSEPA MSIMBAZI, BARBARA ATOA NENO
WAKATI winga wa Simba, Luis Miquissone, akijiandaa kujiunga na mabingwa wa Afrika mara mbili mfululizo, Al Ahly ya Misri, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo,...
CHAMA AKUTANA NA JOTO YA JIWE, KISA HAJI MANARA, MO APIGA MKWARA
STAA wa Simba, Clatous Chama, Agosti 6, 2021 ameonja joto la jiwe baada ya kuchenjiwa kibao na muwekezaji wa klabu hiyo, Mo Dewji kisa...