MESSI AMWAGA MACHOZI AKIWAAGA MASHABIKI BARCELONA
WIMBO wa mkongwe wa muziki wa Country, Don Williams wa Fare Well Jamaica ndiyo uliomkaa mshambuliaji wa Dunia, Lionel Messi ambaye amejikuta akiangua kilio...
ALIYEKATWA KUGOMBEA URAIS APEWA UJUMBE
HAWA Mniga ambaye alichukua fomu kugombea urais kwenye uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ameteuliwa kuwa miongoni mwa wajumbe wa kamati ya...
SIMBA YAMPELEKA GYM SMSHAMBULIAJI WAKE MPYA
BAADA ya kukamilisha usajili wa kujiunga na Simba, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya City, Kibu Denis, ameanza programu maalum ya mazoezi ya gym kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea msimu ujao wa 2021/22.Inaelezwa...
BAADA YA KUTEMANA NA YANGA, CARLINHOS HUYU HAPA NA TIMU YAKE MPYA..
ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa Yanga Carlos Carlinhos ametua kwa mabingwa wa Angola Sagrada Esperanca kwa uhamisho huru.Nyota huyo ambaye alikuwa ni kipenzi cha Yanga...
BREAKING: YANGA YAMSAJILI KIPA KUTOKA TIMU YA TAIFA YA MALI
RASMI hesabu za kumsajili kipa namba moja wa timu ya taifa ya Mali zimekamilika na atakuwa na timu hiyo msimu wa 2021/22.Nyota huyo kutoka...
YANGA:KILA MTU ANACHEZA KWA KIWANGO AMBACHO ANACHO
BAADA ya timu ya Yanga kuondolewa kwenye hatua ya makundi ya Kagame Cup kwa kufungwa mabao 3-1 dhidi ya Express wamesema kuwa huwezi kumlazimisha...
SIMBA WABADILI GIA ANGANI..SASA KUONYESHANA UBABE NA YANGA MOROCCO
MABINGWA wa Ligi Kuu Bara Simba huenda wakabadili mawazo ya eneo watakaloweka kambi yao ya maandalizi ya msimu, wakifikiria kwenda Ufaransa, ila kutegemea na...
LUKAKU KUIBUKIA CHELSEA
MSHAMBULIAJI Romelu Lukaku ambaye alisepa ndani ya Klabu ya Chelsea mwaka 2014 na kwa sasa anakipiga ndani ya Inter Milan amewaambia mabosi wake kwamba...
VIDEO: UKONDE WA YANGA ANA AMINI ATAKUWA KIKOSINI HAPO MSIMU UJAO
JIMMY Ukonde nyota mpya ambaye alikuwa kwenye majaribo ndani ya kikosi cha Yanga ameweka wazi kwamba anaamini anaweza kuwepo kwenye kikosi hicho kwa msimu...
AZAM FC, KMKM ZATINGA HATUA YA NUSU FAINALI KAGAME
USHINDI wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC ambao waliupata KMKM kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Kagame unafanya timu hizo...