MAJEMBE YA KAZI SIMBA YATUA
NYOTA wa Simba, Clatous Chama amerejea ndani ya ardhi ya Bongo akitokea Zambia ambapo alikuwa kwa ajili ya mapumziko.Chama ambaye ni kinara wa kutengeneza...
ALI MAYAI AMVAA MANARA, AMTAKA KUACHA ‘UJANJAUJANJA; NA KUTAFUTA HURUMA KWA MASHABIKI
Nahodha na Kiungo wa Zamani wa Young Africans Ali Mayai ameingilia kati sakata la aliyekua Msemaji wa Simba SC Haji Manara dhidi ya Mwekezaji...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu
BAADA YA ‘KUFOKEWA’ NA MO DEWJI KISA KUMSIFIA MANARA, CHAMA AVUNJA UKIMYA…
Kiungo fundi kutoka nchini Zambia na klabu ya Simba SC Clatous Chotta Chama, amewataka baadhi ya wadau wa soka Tanzania kuacha mpango wa kumgombanisha...
WAKATI LUIS AKIIBUKIA AL AHALY… MUGALU HUYOO APATA SHAVU TIMU KUTOKA MOROCCO
Kocha mkuu wa Klabu ya RS Berkane ya Morocco Florent Ibenge emeutaka uongozi wa klabu hiyo kutuma ofa kwa Mabingwa wa Tanzania Bara Simba...
EDO KUMWEMBE AUTILIA SHAKA USAJILI WA MAKAMBO YANGA..AFUNGUKA HAYA
Usajili wa Mshambuliaji Kutoka DR Congo Heritier Makambo, umempa shaka mchambuzi wa Soka la Bongo Edo Kumwembe.Makambo amesajiliwa Young Africans kwa mara ya pili...
VIDEO: AUCHO MALI YA YANGA, KUTAMBULISHWA MUDA WOWOTE
NYOTA Aucho ambaye alikuwa anawindwa na Simba inaelezwa kuwa kwa sasa yupo kwenye rada za timu ya Yanga ambayo imepindua usajili wa nyota huyo...
RASMI..KIPA BORA LA CHAN LATUA YANGA..UNAAMBIWA NI ZAIDI YA MANULA
Klabu ya Young Africans imethibitisha kumsajili Mlinda Lango kutoka nchini Mali Djigui Diarra.Diara amethibitishwa kuwa mali halali ya ‘WANANCHI’ leo Jumapili (Agosti 08) mchana,...
HII HAPA HOTUBA YOTE YA MESSI AKIAGA BARCELONA
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi leo Jumapili asubuhi alishindwa kujizuia na kujikuta akitokwa na machozi wakati akiwaaga wachezaji, viongozi na mashabiki wa...
JEMBE JIPYA SIMBA LAANZIA ‘GYM’
BAADA ya kukamilisha usajili wake wa kujiunga na Simba, aliyekuwa mshambuliaji wa Mbeya City, Kibu Denis sasa ameanza na programu maalum ya mazoezi ya...