A-Z KILICHOJIRI UCHAGUZI TFF, TANGA

0
HATIMAYE Shirikisho la Soka Tanzani,(TFF) limefanikiwa kufanya mkutano mkuu wa mwaka, mkutano ambao uliambatana na na uchaguzi mkuu wa mwaka 2021. Uchaguzi ambao ulilenga kupata...

AZAM FC KUIBUKIA MUHIMBILI LEO

0
 UONGOZI wa Azam FC uesema kuwa sababu kubwa ya kuweza kupata chano ya Corona ni kuunga juhudi za Rais wa Tanzania, Samia Suluhu katika...

BIASHARA UNITED KUSAJILI WAPYA 9

0
 WAKATI timu mbalimbali zikiendelea na usajili wa kuimarisha vilabu vyao Uongozi wa timu ya Biashara United ya mkoani Mara kupitia kwa kocha wake Mkuu...

HUYU NDIYO MO ..BAADA YA PETER BANDA.. HIKI HAPA KIFAA KIPYAA KUTOKA MALI KUTUA...

0
SIKU chache baada ya kushusha winga teleza, Peter Banda kutoka Malawi, mabosi wa Simba hawajamaliza kazi kwani, wanajiandaa kumshusha kiungo fundi wa mpira anayekaba...

MUGALU AINGIA ANGA ZA RS BERKANE YA MOROCCO

0
 IMEELEZWA kuwa mshambuliaji wa Simba, Chris Mugalu yupo kwenye rada za Klabu ya RS Berkane ya Morocco ambayo inafundishwa na Kocha Mkuu, Florent Ibenge.Ibenge...

IMEISHA HIYO…YANGA WAMALIZANA CHAP NA KIUNGO HUYU WA SIMBA..

0
YANGA wameanza nyodo mtaani. Wameanza kutamba kwamba mpaka ilipofikia sasa hakuna mwenye uwezo wa kuzuia moto wao msimu ujao.Huku wakihesabu mastaa wapya kutoka DR...

MESSI ATAJWA KUIBUKIA PSG

0
MSHAMBULIAJI bora wa muda wote ndani ya Barcelona, Lionel Messi amesema kuwa hakuhitaji kuondoka ndani ya Barcelona huku akibainisha kwamba bado hakuna jambo lililothibitishwa kuhusu...

VIDEO: YANGA WABABE KWA AUCHO, SIMBA YAMREJESHA MKUDE,CHIKWENDE

0
YANGA wababe kwa Aucho, Simba yamrejesha Jonas Mkude, Perfect Chikwende.  

MKE WA TSHABALALA:NIMEUMIA KUTUKANWA, ALINIAMBIA ANA MTU

0
 Mke Wa Tshabalala – “Nimeumia Kutukanwa Instagram, Aliniambia Ana Mtu, Nimuache Kwanza” 

KIUNGO WA UGANDA AUCHO KUMALIZANA NA YANGA

0
 KIUNGO Khalid Aucho kwa sasa yupo ardhi ya Tanzania ikiwa ni kwa ajili ya kumalizana na mabosi wa Yanga wanaohitaji saini yake.Kiungo huyo awali...