AUBA ANA TUZO KIBAO KABATINI,BUNDESLIGA ALICHEZA MECHI 144

0
 NYOTA wa timu ya taifa ya Gabon ambaye ni mshambuliaji wa Arsenal, Pierre Aubameyang rekodi zinaonyesha kwamba alicheza mechi nyingi ndani ya Klabu ya...

YANGA WATAJA SABABU YA KUACHANA NA MAKIPA WAO WOTE WAWILI

0
 UONGOZI wa Yanga umeeleza kuwa sababu kubwa ya kuachana na nyota zao wawili ambao ni makipa ni kufuata ripoti ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi.Ni...

VIDEO: REKODI ZA KIPA MPYA WA YANGA ZIPO HIVI

0
YANGA imemtambulisha kipa mpya kutoka nchini Mali ambaye ni Djiguidi Arrao akiwa amefanikiwa kutwaa mataji matatu. Kipa huyo anakuja kuchukua nafasi ya Metacha Mnata ambaye...

VIDEO: SIMBA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI KUTOKA TUNISIA KWA BILIONI

0
IMEELEZWA kuwa kikosi cha Simba kimepanga kumpa dili mshambuliaji Abdulkhalid ikiwa ni mbadala wa Luis Miquissone ambaye anatajwa kuingia rada za Al Ahly ya...

RAIS KARIA KUTOA DONGE NONO

0
RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Walles Karia ametangaza kutoa donge nono la sh.milioni kumi kwa Mwenyekiti bora wa chama cha...

INJINIA HESRSI: SIO KISINDA TU, HATA YACOUBA, MUKOKO NAO WANA OFA

0
UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba sio Tuisila Kisinda ambaye amepewa ofa bali wapo wengine wengi ndani ya kikosi hicho ambao wamepewa ofa kwa ajili...

VIDEO:MKUDE, ONYANGO WAREJEA KAMBINI

0
KIKOSI cha Simba leo kimerejea kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara pamoja na Ligi ya Mabingwa Afrika. Pia wameweza...

KABWILI ABAKI, SHIKALO NA METACHA MNATA PANGA LIMEWAKUTA

0
 UONGOZI wa Yanga umetangaza kuachana na makipa wao wawili ambao walikuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2020/21.Ni Metacha Mnata na Faroukh Shikalo...

BREAKING: AUCHO ATAMBULISHWA RASMI YANGA, AFUNGUKA

0
RASMI: UONGOZI wa Yanga leo Agosti 9 umemtangaza nyota mpya Khalid Aucho, winga kutoka nchini Uganda.Nyota huyo alishuka Tanzania usiku wa kuamkia leo kisha...

MANARA AENDELEA ‘KUTEMA NYONGO’ MSIMBAZI, SAFARI HII KAJA NA HILI…

0
Aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC, amewashukia wanaoendelea kuendesha kampeni ya wadau wajiondoe kwenye...