NYOTA HAWA WAWILI WALIOMALIZANA NA SIMBA KUTANGAZWA MUDA WOWOTE
WAKATI Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ikitarajia kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya kambi kuna maingizo ya wachezaji wapya wawili...
YANGA KUWEKA KAMBI MOROCCO, SABABU YATAJWA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa sababu ya wao kuweka kambi nchini Morocco kwa ajili ya msimu ujao ni kutokana na ofa ambayo wamepewa kwa...
NYOTA MPYA SIMBA APANIA KUWASHANGAZA WENGI
YUSUSPH Mhilu, ingizo jipya ndani ya Simba akitokea Klabu ya Kagera Sugar amesema kuwa atawashangaza wengi ambao hawampi nafasi ya kufanya vizuri ndani ya...
VIDEO: KISINDA ANASEPA YANGA,METACHA , MAJEMBE MAPYA YA SIMBA HADHARANI
NYOTA wa Yanga, Tuisila Kisinda anatarajiwa kusepa baada ya kupata ofa huku Metacha Mnata na Farouk Shikalo ikiwa imebaki stori Yanga.
VIDEO: SIMBA KUMFANYIA DUA PETER BANDA,WATPA DONGO KIMTINDO YANGA
SHABIKI wa Simba maarufu kama Simba Ulaya amesema kuwa nyota wao mpya Peter Banda ana uwezo mkubwa na watakwenda kumfanyia dua huku akitupa dongo...
RUVU SHOOTING: HATUTAFANYA MAKOSA TENA MSIMU UJAO
UONGOZI wa Ruvu Shooting umebainisha kwamba utasajili watu wa kazi kwa ajili ya msimu wa 2021/22 ili kuepuka makosa ambayo waliyafanya msimu uliopita.Msimu uliopita...
UKIACHA, BANDA NA MHILU..HAWA HAPA WACHEZAJI WENGINE WAPYA WATANO WA SIMBA
BAADA ya mapumziko mafupi waliyopewa na benchi lao la ufundi, nyota wa Simba wakiwamo wale wapya waliosajiliwa hivi karibuni, wanatarajiwa kuliamsha dude upya kabla...
LUKAKU AKWEA PIPA KUIBUKIA LONDON
MSHAMBULIAJI wa Inter Milan Romelu Lukaku anakwea pipa kuelekea London kwa ajili ya kukamilisha dili la kujiunga na Chelsea.Dau ambalo amewekewa mezani ni Euro milioni...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
AUCHO ATAJA SABABU YA KUIKACHA SIMBA NA KUSAINI YANGA
UNGIZO jipya ndani ya Yanga, Khalid Aucho ameweka wazi kuwa sababu ya yeye kutosaini Simba ni kutofanya mazungumzo na timu hiyo moja kwa moja....