MESSI AKUBALI KUSAINI MIAKA MIWILI, PICHA YAKE YAONDOLEWA
LIONEL Messi amekubali kujiunga na Klabu ya Paris Saint-Germain kwa dili la miaka miwili. Mshindi huyo wa Ballon d'Or mara sita leo amesafiri mpaka Paris...
SIMBA YAKWEA PIPA KUIBUKIA MOROCCO
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo kimekwea pipa kuelekea nchini Morocco. Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho...
VIDEO: NAMNA SIMBA WALIVYOSEPA BONGO, LUIS MIQUISSONE AKOSEKANA
KIKOSI cha Simba leo kimekwea pipa kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao wa 2021/22. Nyota wao Luis Miquissone hakuwa miongoni...
RASMI : YANGA NA SIMBA KUKUTANA MOROCCO..YANGA WAFUNGUKA HAYA
Hatimaye Uongozi wa Young Africans umethibitisha Rasmi taarifa za kikosi cha klabu hiyo kuweka kambi nchinj Morocco.Awali taarifa hizo zilisikika kama tetesi, licha ya...
KAGAME INATUUMBUA KWENYE UWEKEZAJI WA VIJANA, RATIBA YETU
TIMU nne tayari zimetinga hatua ya nusu fainali katika Kombe la Kagame 2021 ambalo linafanyika Tanzania.Mwanzo wa mashindano ni timu nane zilianza kasi ya...
EDO KUMWEMBE AKOLEZA MOTO ISHU YA CHAMA KUMSIFIA MANARA INSTA, AMSHANGAA MO
TUNAISHI katika dunia ya mitandao. Mchezaji anayeitwa Clatous Chama aliamua kwenda mubashara kwa mashabiki wake katika mtandao wake wa kijamii unaoitwa Instagram. Akaanza kujibu...
VIDEO: MZEE WA MAJENEZA AWAPA SOMO MASHABIKI WA YANGA, KUMUUZA KISINDA JAMBO BAYA
MZEE wa majeneza awapa somo mashabiki wa Yanga,aweka wazi kuwa ni jambo baya kwa nyota wao Tuisila Kisinda kuondoka wakati wakiwa bado wanamhitaji. Pia...
ROMA YAKUBALI KUMSAJILI TAMMY
KLABU ya Roma inayoshiriki Serie A nchini Italia imekubali kuinasa saini ya mshambuliaji wa Chelsea, Tammy Abraham kwa dau la Euro milioni 24. Nyota...
KIUNGO MPYA YANGA ANAAMINI ATACHEZA KIKOSI CHA KWANZA
KIUNGO Jimmy Ukonde ambaye alikuwa kwenye majaribio ndani ya kikosi cha Yanga amesema kuwa anaamini kwamba atacheza ndani ya timu hiyo msimu ujao kikosi...
MBEYA CITY WAINGIA CHIMBO KUSAKA MBADALA WA KIBU
WAKATI ikielezwa kuwa tayari Kibu Dennis amemalizana na Simba kwa ajili ya msimu ujao uongozi wa timu hiyo umeweka wazi kwamba kwa sasa upo...