Yanga SC

KIUNGO WA UGANDA AUCHO KUMALIZANA NA YANGA

admin August 9, 2021 6:43 am


 KIUNGO Khalid Aucho kwa sasa yupo ardhi ya Tanzania ikiwa ni kwa ajili ya kumalizana na mabosi wa Yanga wanaohitaji saini yake.

Kiungo huyo awali alikuwa anapigiwa hesabu na mabosi wa Simba ambao walikuwa wanahitaji kuipata saini yake.

Ameshawasili Tanzania kwa ajili ya kukamilisha mazungumzo na mabosi wa Yanga ikiwa mazungumzo yatakwenda sawa anaweza kupewa dili la miaka miwili.   

MAJEMBE YA KAZI SIMBA YATUA MKE WA TSHABALALA:NIMEUMIA KUTUKANWA, ALINIAMBIA ANA MTU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply