MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
MAKUNDI YA KAGAME 2021,SIMBA YAJIWEKA KANDO
Makundi ya CECAFA 2021 huku Simba ikithibitisha kwamba haitashiriki mashindano haya maarufu kwa jina la Kagame.Kundi A KCCA FCLe Messager NgoziKMKM FCKundi BAzam FCAtlabara FCTusker...
ALICHOKISEMA HANS POPE BAADA YA MANARA ‘KUBANDULIWA’ MSIMBAZI
BAADA ya Simba SC kutwaa ubingwa mara mbili mfululizo katika Kombe la FA, huku wakiitawala Ligi Kuu kwa kutwaa makombe kwa misimu manne mfululizo...
BAADA YA KUZIDIWA NA SIMBA MSIMU HUU, YANGA WAMKIMBILIA SVEN NCHINI MOROCCO
Uongozi wa Yanga tayari umewapa mapumziko ya wiki mbili wachezaji wake kisha watakusanyika kwenda kambini nchini Morocco mwanzoni mwa wiki ya pili mwezi ujao...
VIDEO: TUZO ZA 2020/21, SIMBA YATAWALA, MANULA AVUNJA REKODI
TUZO za Ligi Kuu Bara msimu wa 2020/21 Simba watawala kutokana na kufanya vizuri kwa wachezaji hao katika rekodi huku mchezaji bora akiwa ni...
AL AHLY WAWEKA BILIONI NNE KUMVUTA LUIS MIQUISSONE MWENYEWE AKUBALI KUONDOKA SIMBA
KAMA ulikuwa unahisi ni utani basi jua kuwa klabu ya Al Ahly wapo siriazi katika ishu ya usajili wa winga wa timu hiyo Luis...
MWAKINYO: KUWA NAMBA MOJA AFRIKA NI DENI KWANGU
BONDIA Mtanzania, Hassan Mwakinyo amefunguka kuwa kutajwa kama bondia namba moja kwa viwango vya ubora Afrika uzito wa Super Welter, ni deni kubwa sana...
KIKOSI BORA CHA HAJI MANARA KWA MSIMU WA 2020/21, WOTE KUPEWA ZAWADI
KIKOSI bora cha Haji Manara, ambapo wote watapewa zawadi ya viatu na majina yataandikwa. Tuzo itatolewa na Haji mwenyewe katika katika sherehe ambayo ataiandaa...
SHIKALO AWACHIMBA MKWARA SIMBA
BAADA ya kupokea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Wanamsimbazi, Kipa wa Yanga SC Raia wa Kenya Farouk Shikalo, amesema kuwa wao kama timu...
WAMOROCCO, WASAUZ WAPIGANA VIKUMBO KWA CHAMA, SIMBA WAFUNGUKA
TAARIFA za ndani kutoka ndani ya klabu ya Simba zinaeleza kuwa klabu ya soka ya As Far Rabat ya nchini Morocco, imeingia kwenye vita...