WAMOROCCO, WASAUZ WAPIGANA VIKUMBO KWA CHAMA, SIMBA WAFUNGUKA

0
TAARIFA za ndani kutoka ndani ya klabu ya Simba zinaeleza kuwa klabu ya soka ya As Far Rabat ya nchini Morocco, imeingia kwenye vita...

UJUMBE WA HAJI MANARA BAADA YA KUBWAGA MANYANGA SIMBA

0
 ALIYEKUWA Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara ameandika haya muda mchache baada ya Simba kutoa barua kuwa wameachana nae rasmi:"Kila tunapomaliza mechi...

PAUL POGBA MASHABIKI WA PSG WAMKATAA

0
 MASHABIKI wa Klabu ya PSG wamejitokeza kuweka mabango nje ya Uwanja wa Parc des Princes yakiwa na maandishi ya kumkataa nyota wa Manchester United...

VIDEO: MAISHA HALISI YA MZEE MPILI, SHUJAA WA YANGA

0
MAISHA halisi ya Mzee Mpili, Shujaa wa Yanga anayelia na vifo vya Wanawe  

VIDEO: KADIMA KABANGU MAMBO SAFI SIMBA

0
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Simba upo kwenye hesabu za kuinasa saini ya Kadima Kambangu ili ajiunge na timu hiyo kwa msimu wa 2021/22  

VIDEO: SABABU ZA NABI KUMKATAA BEKI WA AZAM FC, YAKUB MOHAMED

0
SABABU za Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi kumkataa beki wa Azam FC, raia wa Ghana Yakub Mohamed  

BREAKING: HAJI MANARA ABWAGA MANYANGA SIMBA, MBADALA WAKE HUYU HAPA

0
 BREAKING:OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amebwaga manyanga ndani ya Simba na kwa sasa nafasi yake inachukuliwa na Ezekiel Kamwaga ambaye anakuwa Kaimu Mkuu...

MANCHESTER UNITED YAKAMILISHA USAJILI WA BEKI

0
MANCHESTER United wamethibitisha kukamilisha dili la beki Raphael Varane ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Real Madrid.Timu hiyo ilikuwa inamfuatilia kwa ukaribu mchezaji huyo mpaka...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano 

LUIS MIQUISSONE AWEKEWA OFA MBILI, AL AHLY YAWEKA DAU LA MAANA

0
 IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Simba imepokea ofa mbili kutoka Ulaya kwa ajili ya Kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho raia wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone ‘Konde...