MANCHESTER UNITED YAKAMILISHA USAJILI WA BEKI

0
MANCHESTER United wamethibitisha kukamilisha dili la beki Raphael Varane ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Real Madrid.Timu hiyo ilikuwa inamfuatilia kwa ukaribu mchezaji huyo mpaka...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano 

LUIS MIQUISSONE AWEKEWA OFA MBILI, AL AHLY YAWEKA DAU LA MAANA

0
 IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Simba imepokea ofa mbili kutoka Ulaya kwa ajili ya Kiungo mshambuliaji wa kikosi hicho raia wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone ‘Konde...

KAZADI AMTAJA NYOTA ALIYEMSHAWISHI KUJIUNGA YANGA

0
NYOTA Francis Kazadi Kasengu amesema kuwa Mukoko Tonombe ni moja kati ya watu wanaomshawishi kwa kiasi kikubwa kujiunga na klabu ya Yanga kwa ajili ya msimu ujao.Kazadi Kasengu na Mukoko Tonombe wamewahi kucheza...

CHAMA KUIBUKIA MOROCCO

0
IMEELEZWA kuwa nyota wa Simba, Clatous Chama yupo kwenye hesabu za kuwindwa saini yake na timu moja kutoka nchini Morocco.Ni Far Rabat ambayo kwa...

TIMU YA TAIFA U 23 YATINGA FAINALI, KOCHA ASHANGAZWA NA UWEZO

0
 KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa anashangazwa na uwezo wa wachezaji wake alionao kwa sasa kwa namna ambavyo...

KOCHA AIPA TANO YANGA KUINASA SAINI YA MAYELE

0
BAADA ya Yanga kukamilisha usajili wa mshambulaiji wa AS Vita, Fiston Mayele, kocha msaidizi wa AS Vita Roul Shungu amesema kuwa Yanga imefanikiwa kumpata mshambuliaji mzuri atayekwenda kuwasaidia kufunga mabao...

POGBA ATASAINI MKATABA NDANI YA MANCHESTER UNITED

0
 KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amesema anaamini kuwa kiungo wake Paul Pogba atasaini mktaba mpya na timu hiyo.Pogba amebakiza mkataba wa mwaka mmoja na timu hiyo na amekuwa akielezwa...

KISA KESI YA MORRISON, YANGA WATAMBA KUIPORA SIMBA UBINGWA WA VPL NA FA

0
 KAMA ulikuwa unadhani Klabu ya Yanga inatania katika kesi yao dhidi ya Bernard Morrison basi jua kuwa klabu hiyo ipo siriazi na hiyo ni baada ya Mahakama ya Usuluhishi wa michezo CAS kuweka wazi kuwa...

BERNARD MORRISON AKABIDHIWA TUZO YA MCHEZAJI BORA

0
 KIUNGO Mshambuliaji wa Simba raia wa Ghana, Bernard Morrison, amekabidhiwa kitita cha shilingi Ml 1, kutoka kampuni ya Emirate Alluminium baada ya kutwaa tuzo...