AZAM FC WAANIKA MIPANGO YAO

0
KOCHA msaidizi wa Azam FC, Vivier Bahati amefunguka kuwa watatumia michuano ya kombe la Kagame kujiandaa na michuano ya kimataifa inayotarajia kuanza mwezi Septemba...

FEI TOTO: MAMBO MAZURI YANAKUJA MSIMU UJAO

0
BAADA ya kukosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara na Kombe la FA, Kiungo mshambuliaji wa Yanga Feisali Salum ‘Fei Toto’ amefunguka na kuwataka mashabiki...

VIDEO: SVEN KUMCHOMOA CHAMA NDANI YA SIMBA, KAIZER WATIA MKONO, SIMBA WAFUNGUKA

0
INAELEZWA kuwa Klabu ya FAR Rabat ya Morocco inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck pamoja na Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini zinasaka saini ya...

USAJILI YANGA KAZI IMEANZA, MAJEMBE KUMWAGA WINO, WAZAWA ORODHA YAO HII HAPA

0
 USAJILI wa Yanga sasa ni kama viongozi wameamua kufanya kimafia kwani kesho Ijumaa wanatarajiwa kusafiri kwenda nchi za Afrika Kusini, Morocco na Congo Kinshasa...

VIDEO: LAMINE OUT YANGA, KESI YA BERNARD MORRISON LEO

0
FAINALI ya Cecafa ni kesho ambapo wanasema 'Its Coming Home', Lamine Moro Out Yanga, kesi ya Bernard Morrison leo  

VIDEO:KESI YA MORRISON NA YANGA LEO, SIMBA WATOA TAMKO

0
LEO JULAI 29, 2121 Jaji Patrick Stewart, raia wa Uingereza ataisikiliza kabla ya kuitolea uamuzi kesi ya klabu ya Yanga dhidi ya Bernard Morrison,...

HII HAPA RATIBA YA KAGAME PAMOJA NA MAKUNDI

0
RATIBA ya Cecafa Kagame Cup 2021 imetoka huku Tanzania ikiwakilishwa na Yanga, Azam na KMKM, Simba walithibitisha kujiweka kando katika mashindano haya.Mwendo utakuwa namna...

BREAKING: YANGA WATHIBITISHA KUSITISHA MKATABA WA LAMINE MORO

0
BREAKING:Rasmi uongozi wa Yanga umesitisha mkataba wa beki wao na nahodha Lamine Moro raia wa Ghana kwa makubaliano maalumu. Taarifa rasmi iliyotolewa na Yanga...

MWAKINGWE: SIWADAI WACHEZAJI, KILICHOTOKEA TANGA KILA MTU AMEONA

0
 ULIMBOKA Mwakingwe, Kocha Mkuu wa Pamba FC ya Mwanza amesema kuwa hawadai wachezaji wake kwa kuwa walipambana mwanzo mwisho.Ni katika mchezo wa mtoano ambapo...