BAADA YA KUTOKA PATUPU MSIMU HUU…SENZO AIBUKA NA HILI NDANI YA YANGA

0
YANGA wamesahau kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Simba na habari iliyo mbele yao sasa ni usajili mpya.Senzo Mazingiza ambaye ni mshauri wa uongozi...

GOMES ALIANZISHA MSIMBAZI..AWEKA WAZI MSIMAMO WAKE KWA MSIMU UJAO

0
KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema anawaza kufanya vizuri zaidi kimataifa baada ya klabu hiyo kutengeneza rekodi kubwa katika mashindano ya ndani.Gomes alisema...

BAADA YA KUMALIZANA NA MANARA..HANS POPE ‘AWAFOKEA’ YANGA

0
Mmoja ya vigogo wa Simba, Zacharia Hanspope amesema ubora wa kikosi cha Simba ndio sababu ya kupata mafanikio makubwa msimu huu, huku akiahidi kuendelea...

WAKATI MSUVA AKING’ARA..CHILUNDA MAMBO YAMWENDEA KOMBO MOROCCO

0
KLABU ya Moghreb Tétouan anayoichezea Mtanzania Shaaban Chilunda imeshuka daraja jana usiku baada ya kupokea kichapo cha 3-2 dhidi ya RS Berkane kwenye Ligi...

MRITHI WA LUIS AKUBALI KUTUA SIMBA

0
WINGA machachari wa kimataifa wa Malawi, Peter Banda ameweka wazi kuwa yupo kwenye mazungumzo na klabu ya Simba huku mwenyewe akiweka wazi kuwa tayari...

JOB: HATUKUWA NA MSIMU MZURI 2020/21

0
 BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga, Dickson Job amesema kuwa hawakuwa na msimu mzuri ndani ya 202021 kwa kuwa hawajapata taji la ligi....

UWANJA WA JAMHURI DODOMA KUWEKWA NYASI BANDIA

0
MENEJA wa uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Anthony Nyembera amefunguka kuwa tayari maboresho ya uwanja huo yameanza kufanyika, ambapo awamu ya kwanza itahusishwa uwekwaji...

TPLB WATULIZE VICHWA UPANGAJI WA RATIBA 2021/22

0
LIGI Kuu Soka Tanzania Bara msimu wa 2020/21  Jumapili iliyopita iliumaliza mwendo baada ya michezo yote tisa ya mzunguko wa 34 kupigwa katika viwanja...

STARS YAAHIDI UBINGWA FAINALI CECAFA U23

0
BAADA ya kufanikiwa kutinga katika hatua ya fainali ya michuano ya CECAFA U23, nahodha wa kikosi cha Taifa Stars, Israel Mwenda amesema kuwa matuaini...

KAGERE AOMBA KUONDOKA SIMBA, YANGA WAANDAA MKATABA

0
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Simba, Meddie Kagere amewasilisha kwa uongozi wa Simba barua ya maombi ya kutaka kusitisha mkataba wake ndani ya klabu hiyo...