MPANGO WA MANGALO KUMRITHI PASCAL WAWA MSIMBAZI UKO HIVI
KAMA mambo yakienda vyema, beki wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo anaweza akala shavu Simba na akashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika (Caf) ya mwaka huu.Awali...
VIDEO: MANENO YA MORRISON BAADA YA KESI YAKE KUSIKILIZWA CAS
KESI ya Bernard Morrison imesikilizwa na majibu yake yanatarajiwa kutolewa Agosti 24 na Mahakama ya Usuluhishi ya Masuala ya Michezo, (Cas), maneno ya Morrison...
VIDEO: YANGA YAMALIZANA NA NYOTA HAWA KATIKA USAJILI WAO
YANGA yamalizana na nyota kadhaa ikiwa ni pamoja na Djuma kwa ajili ya msimu wa 2021/22 kwa ajili ya kuongeza nguvu katika kikosi hicho...
GREALISH APIGIWA HESABU NA MANCHESTER CITY
MANCHESTER City wamesema kuwa wanataka kumsajili kiungo wa Aston Villa Jack Grealish na kumfanya kuwa mchezaji ghali zaidi kwenye Ligi Kuu England.Manchester City, Man United na timu nyingine kubwa...
VIDEO: HUYU HAPA MRITHI WA LUIS MIQUISSONE NDANI YA SIMBA
IMEELEZWA kuwa Peter Banda mwenye miaka 20 yupo kwenye hesabu za kutua ndani ya Simba ili awe mrithi wa nyota wao Luis Miquissone ambaye...
TP MAZEMBE YAKOMALIA SAINI YA FEI TOTO YANGA
MABINGWA mara 5 wa Bara la Afrika, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), wamedhamiria kuinasa saini ya nyota wa Klabu ya...
KAGERE – MSIMU HUU NIMEISHI MAISHA MAGUMU SANA NDANI YA SIMBA
Mshambuliaji wa Simba amefunguka kwamba katika kipindi ambacho amepitia wakati mgumu ndani ya Simba ni msimu huu ambao Simba ilichukua taji la nne kwa...
ERIKSEN KURUDI UWANJANI INTER MILAN
KIUNGO Christian Eriksen anatarajiwa kurejea kwenye timu yake ya Inter Milan kwa ajili ya kufanyiwa vipimo. Ericksen alidondoka kwenye mchezo wa Euro 2020 akiwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa