TANZANIA YATWAA UBINGWA WA CECAFA U 23, KOCHA AWAPA TANO

0
 KIM Poulsen, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, chini ya miaka 23 amesema kuwa amefurahishwa na vijana wake kuweza kutwaa taji la...

VIDEO: POLISI TANZANIA WAKANA ISHU YA KUMTELEKEZA MDAMU

0
POLISI Tanzania wamekana ishu ya kumtekeleza mchezaji wao Gerlad Mdamu ambaye alipata ajali  

YANGA YAMREJESHA JUMA MAHADHI, KUANZA NA KAGAME

0
 STRAIKA wa Yanga, Juma Mahadhi, amerejea kikosini na atakuwa miongoni mwa wachezaji watakaoshiriki michuano ya Kombe la Kagame inayoanza keshokutwa Jumapili kwenye viwanja vya Mkapa na Azam Complex jijini Dar es Salaam.Yanga...

UKIACHANA NA BARBARA, HIZI HAPA SABABU NYINGINE ZA MANARA ‘KUFYEKWA’ MSIMBAZI

0
MWISHO wa zama. Kama utani Haji Manara leo hii amebaki kuwa mwanachama na shabiki tu wa Simba, baada ya kupigwa chini na nafasi yake...

MO AKABIDHI HUNDI YA BILIONI 20, MCHAKATO WA MABADILIKO UMEKAMILIKA

0
 MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Klabu ya Simba, Mohamed Dewji,'Mo' leo Julai 30 amekabidhi mfano wa hudni yenye thamani ya Bilioni 20.Mkwanja...

MAYELE ATAJA SIKU YA KUJA KUSAINI YANGA

0
 TWENDENI tukawapokee! Ndio kauli inayoweza kutumika kwa sasa mara baada ya mchezaji wa kimataifa wa DR Congo, Fiston Mayele kuthibitisha kuwa atatua nchini Jumapili. Wakati huohuo, beki wa kulia, Shabani Djuma, amekiri kuwa yeye atachelewa...

AFISA HABARI MPYA SIMBA ‘AMKATAA MANARA KIAINA’

0
SIKU moja baada ya kuteuliwa na uongozi wa Simba kuwa Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano, Ezekiel Kamwaga amesema kuwa asifananishwe na...

VIDEO: MO DEWJI ANAZUNGUMZIA ISHU YA UWEKEZAJI, USAJILI NDANI YA SIMBA

0
MOHAMED Dewji Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi anazungumza wakati huu kuhusu mchakato wa mabadiliko ndani ya Simba, usajili ishu ya Barbara pamoja na Haji...

STRAIKA WA POLISI TZ ALIYEVUNJIKA MIGUU YOTE AMLILIA MAMA SAMIA KWA UCHUNGU

0
 STRAIKA wa Polisi Tanzania, Mathias Mdamu aliyevunjika miguu yote katika ajali iliyotokea hivi karibuni timu yake ikitokea mazoezini mjini Moshi anatia huruma. Amewaambia Watanzania...

ARSENAL YAMPIGIA HESABU LAUTARO

0
 IMEELEZWA kuwa Klabu ya Arsenal ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya mshambuliaji wa Inter Milan, Lautaro Martinez ili kuwa ndani ya kikosi hicho...