SAIDO AWAGAWANYA MABOSI YANGA, WENGINE WATAKA ASEPE MAZIMA
VIONGOZI wa Yanga wamejikuta wakiwa katika njia panda mara baada ya kupatwa na kigugumizi cha kuachana au kubaki kwa mshambuliaji wao, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’.Ntibazonkiza alijiunga na Yanga katika usajili wa dirisha dogo uliofanyika...
NYOTA HAWA WAMEMALIZANA NA SIMBA, MMOJA AWAZIMIA SIMU YANGA
SIMBA imeanza kwa kasi harakati zake za kusuka upya kikosi chake kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu Bara msimu ujao, baada ya kumalizana na nyota watatu fasta.Simba imepania...
RASTA HUYU KUTOKA ZAMBIA MKALI WA KUKABA KUTUA YANGA
TETESI za usajili Yanga zinasema kuwa, timu hiyo ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki wa Zesco ya nchini Zambia, Mkongomani Marcel Kalonda ambaye anatumia guu la kushoto na ni...
CORONA YAITIKISA MANCHESTER UNITED
MANCHESTER United imelazimika kusogeza mbele mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Preston North End uliotarajiwa kuchezwa leo Jumamosi kutokana na kutikishwa na janga la...
WASIOOA WAKWAMWA KWA WALIOOA, WANYOOSHWA 3-0, ZACHAPWA KAVUKAVU
TIMU ya Wasioa wameshindwa kufuta uteja mbele ya Walioa katika mchezo maalumu uliopigwa Ijumaa Julai 30, 2021 kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Dk...
VIDEO: LUIS AKUBALI KUPATA CHANGAMOTO MPYA,KUIBUKIA MISRI
IMEELEZWA kuwa Luis Miquissone yupo kwenye hesabu za kuwaniwa na Al Ahly ambapo wakala wa mchezaji huyo amebainisha kuwa kuna ofa ya bilioni mbili...
SABABU ZA YANGA KUACHANA NA LAMINE MORO IPO HIVI
IMETAJWA nidhamu ndiyo sababu iliyomuondoa nahodha na beki wa kati wa Yanga, Mghana, Lamine Moro kwenye usajili wa msimu ujao.Hiyo ikiwa ni siku chache tangu, uongozi wa Yanga...
VIDEO: MRITHI WA HAJI MANARA SIMBA AFUNGUKA MWANZO MWISHO
MRITHI wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, Ezekiel Kimwaga amesema kuwa sio mara yake ya kwanza kufanya kazi ndani ya Simba hivyo anaamini...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
YANGA WAPIGWA RUNGU NA SIMBA PIA, MUKOKO NA MORRISON WAPIGWA PINI
NYOTA Mukoko Tonombe kiungo wa Yanga amepigwa faini ya shilingi laki tano kwa kosa la kumpiga kiwiko mshambuliaji wa Simba, John Bocco kwenye mchezo...