MRITHI WA AZIZI KI YANGA HUYU HAPA….MABOSI WAANZA KUFANIKISHA DILI MAPEMAAA….
KATIKA kile kinachoonekana kuwa mwanzo wa ukurasa mpya kwa klabu ya Yanga, uongozi wa timu hiyo umeweka wazi mikakati kabambe ya kuhakikisha msimu ujao...
KISA KUFUNGWA NA SINGIDA JUZI…..FADLU AITAJA YANGA….AFUNGUKA A-Z UGUMU ULIPO…
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amefunguka hali ya kikosi chake, akisema kwa sasa akili yake yote inaelekezwa kwenye pambano la Kariakoo Derby...
RUKA JUU NA SUPERHELI, JISHINDIE SAMSUNG A25 MPYA….
Promosheni ya kibabe ya Superheli imekuja ndani ya Meridianbet mwezi huu Juni ambapo nafasi ya wewe kushinda ikiwa kubwa zaidi. Cheza Superheli sasa umiliki...
PSG, SPURS, CHELSEA. NI MSIMU WA WALE WALIOSUBIRI SANA….
Msimu wa 2024/25 umekua wa kitofauti baada ya kushuhudia majina makubwa yakianguka huku majina yasiyotarajiwa yakipanda jukwaa kwa ajili ya kuvalishwa medali. Hili ndilo...
BAADA YA KUANZA KUNG’AA UPYA …MUTALE AVUNJA UKIMYA SIMBA…ATAJA ALIYOKUWA ANAPITIA…
WINGA Joshua Mutale amekuwa mtamu kama mcharo. Kwa wanaokumbuka wakati anatua Msimbazi kutoka Power Dynamos ya Zambia, jina lake lilibeba matumaini.
Mutale maarufu kama Budo,...
KUHUSU YANGA KUPATA BIL 1 FEI AKIENDA SIMBA….AZAM FC ‘WASHINDILIA MSUMARI’…UKWELI HUU HAPA…
Unakumbuka neno kipengele lilivyogonga vichwa vya habari wakati wa sakata la kuahirishwa kwa mechi ya watani wa jadi?
Basi neno hilo limerejea tena kwa kishindo...
KISA AZIZ KI KUSEPA MAPEMA….BEKI YANGA AVUNJA UKIMYA….ATAJA HOFU, UBORA WA TIMU…
NYOTA wa zamani wa Yanga, Haji Mwinyi Ngwali, ameshindwa kujizuia na kuibuka akiwatoa hofu mashabiki wa timu hiyo kuhusu kuondoka kwa kiungo mahiri, Stephane...
ZA NDAAANI…MOKWENA AIPA MASHARTI HAYA YANGA….MFARANSA WA ASEC MHHH 🧐….
MABOSI wa Yanga, wameendelea kufanya yao kimyakimya katika mchakato wa kusaka kocha atakayepewa nafasi ya kuiongoza timu hiyo kwa msimu ujao huku zoezi hilo...
KISA CAF….HAYA HAPA MAAMUZI MAGUMU YA MO DEWJI SIMBA….FADLU KICHEKO TU…
BILIONEA wa Klabu ya Simba, Mohammed ‘MO’ Dewji ameridhishwa na mafanikio ya timu hiyo kimataifa licha ya kwamba imeshindwa kubeba ubingwa wa Afrika kwa...
BAADA YA KUSHINDWA KUBEBA NDOO CAF….JULIO ‘AWANYOSHEA KIDOLE’ MABOSI SIMBA…
KOCHA Msaidizi wa timu ya taifa, Taifa Stars, Jamhuri Kihwelo "Julio", amewataka viongozi wa klabu ya Simba wanaingia sokoni kusajili wachezaji wa kiwango cha...