SIMBA, YANGA ZILIVYOANZISHWA UKWELI UNAOPASWA KUJUA HUU HAPA…WAARABU WATAJWA…
Kesho, Jumanne ya Februari 11, 2025 Yanga watasherehekea miaka 90 ya kuanzishwa kwao.
Wenyewe wanasema klabu yao ilianzishwa tarehe kama hiyo mwaka 1935, kwa hiyo...
WAARABU NI NOMA AISEE… DILI LAO LA KUMBEBA NGOMA KWA BIL 1 LIKO HIVI….
KLABU kutoka ukanda wa Afrika Kaskazini, maarufu kama Waarabu wameendelea kuvuna watu kutoka katika Ligi Kuu Bara baada ya safari hii kuivamia Simba na...
HUU HAPA MTIHANI KWA KOCHA MPYA YANGA…AKISHINDWA MAPEMA TU ‘WANAKULA KICHWA’…
UONGOZI wa Yanga umesema moja ya kipengele cha Kocha Mkuu anayeenda kukinoa kikosi cha timu hiyo ni kutwaa taji la ubingwa wa Ligi Kuu...
REGAL CROWN 100 MCHEZO WA KASINO WENYE NJIA ZAIDI YA 100 ZA USHINDI….
Kutana na huu mchezo wa kasino mtandaoni kutoka Meridianbet unaitwa Regal Crown 100, kasino hii imetengenezwa na Amigo. Mchezo una majoka ambayo hujikusanya katika...
KUHUSU ISHU YA CHASAMBI KUJIFUNGA JUZI…FADLU ASHINDWA KUJIZUIA..MSIMAMO WAKE HUU..
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amemkingia kifua nyota wake, Ladack Chasambi kwa kusema anatakiwa kusaidiwa na sio kulaumiwa, kwa kosa la kujifunga kwenye...
HAWA HAPA WAPINZANI WA SIMBA, YANGA KOMBE LA SHIRIKISHO……
MABINGWA watetezi wa CRDB Federation Cup Yanga SC wamepangwa kucheza na Coastal Union katika hatua ya 32 bora ya miachuano hiyo.
Pia, Simba wao watacheza...
PAMOJA NA KUJIFUNGA JUZI….CHASAMBI ‘APEWA MBAVU SIMBA’
MAKOCHA na wachezaji wa zamani wamemkingia kifua winga wa Simba, Ladaki Chasambi kwa kosa lililotokea juzi wakiliomba benchi la ufundi kuzungumza naye na kuendelea...
WIKIENDI YA KUJIPIGIA KITITA NA EARLY PAYOUT…
Kama unavyojua wikiendi ndio siku za kuokota mkwanja wa kutosha na leo lile chaguo jipya ndani ya Meridianbet la Early payout ndio wakati wake,...
HUKU MKATABA UKIELEKEA UKINGONI…MABOSI YANGA WAMKAUSHIA JOB…..TIMU TATU ZAMTAKA..
KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujiandaa na mchezo utakaopigwa keshokutwa dhidi ya JKT Tanzania huku, nahodha msaidizi, Dickson Job akiwatega mabosi wake kutokana na kuanza...
TAWALA ANGA HUKU UNAPIGWA NA MVUA YA PESA KUTOKA SUPER HELL YA MERIDIANBET…
Wakati unatawala anga kupitia mchezo wa Super Heli unapata fursa ya kunyeshewa na mvua ya kifalme kupitia promosheni ya (Royalty Showers) ambayo inaendelea kupitia...