FISTON ATAMBA YANGA KUMALIZA SARE MFULULIZO
MSHAMBULIAJI wa klabu ya Yanga, FISTON Abdoul Razack, ametamba kuwa anaamini kikosi chake kitafanya vizuri katika michezo iliyo mbele yao na kumaliza tatizo la...
CARLINHOS ATAJA SABABU ZA KUTOKUCHEZA YANGA
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Yanga, Carlos Fernandes ‘Carlinhos’ amefunguka kuwa kwa sasa tayari amekwishapona majeraha yalimweka nje ya uwanja kwa muda mrefu, na...
GOMES ATAJA KITAKACHOIBEBA SIMBA KIMATAIFA
KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, amefunguka kuwa kama watacheza kwa nidhamu na kupambana pamoja kama walivyofanya kwenye mchezo uliopita dhidi ya...
MECHI TANO ZA MWANZO CIOABA APETA MBELE YA LWANDAMINA
GEORGE Lwandamina, mrithi wa mikoba ya Aristica Cioaba ndani ya kikosi cha Azam FC ndani ya Azam FC kwenye mechi tano za mwamzo matokeo...
AZAM KUFUNGA TAA KWENYE VIWANJA 4 VYA LIGI KUU -VIDEO
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na Azam wameleta mpango wa kufunga Taa katika viwanja 4 ili kuepuka mechi za saa nane mchana...
SIMBA KUWAFUATA BIASHARA UNITED LEO
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes, leo Februari 16 kitaondoka kwa ndege jijini Dar es Salaam kwenda jijini Mwanza. Kesho Jumatano, Februari...
SALAH NI NAMBA MOJA KWA UTUPIAJI
NDANI ya Ligi Kuu England, Mohamed Salah ni kinara wa utupiaji akiwa ametupia jumla ya mabao 17 msimu wa 2020/21, timu yake ya Liverpool...
RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO BONGO
LEO Februari 16, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili ambapo mechi mbili kali zitapigwa viwanja viwili tofauti.Gwambina iliyo nafasi ya...
BIASHARA UNITED YATAKA KUFANYA BIASHARA NA SIMBA
FRANCIS Baraza,Kocha Mkuu wa Biashara United amesema kuwa wamejipanga kupata pointi tatu mbele ya wapinzani wao Simba kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara...
KAGERA SUGAR YATUMA SALAMU YANGA
MECKY Maxime, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga kwa...