BAADA SUPER CUP..HAWA HAPA MASTAA SABA WALIOMKUNA KOCHA MPYA SIMBA
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amepata majembe 7 ya kazi ndani ya kikosi hicho kupitia kwenye mechi mbili za Simba Super Cup iliyofanyika...
DODOMA JIJI WAIPIGA MKWARA SIMBA, NGOMA NI JAMHURI,DODOMA
MBWANA Makata, Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara dhidi...
USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO YA GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI, JERO TU
USIPANGE kukosa nakala ya Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi kwa bei ya Shilingi Mia tano tu
STRAIKA WA SIMBA AIPA JEURI KMC
USAJILI wa washambuliaji Matheo Anthony kutoka KMKM na Charles Ilanfya kutoka Simba katika kipindi cha dirisha dogo umewapa kiburi ‘Wanakinoboys’ KMC ambao wametamba kufanya...
MORRISON:- SIWANASEMA NINA ‘BUSHA’…? WAJIANDAE KUKEREKA ZAIDI..!!
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mghana, Bernard Morrison amefichua kuwa kiwango alichokionyesha katika mchezo dhidi ya Al Hilal ya Sudan ni mwanzo kwa kuwa amejipanga...
KISA SIMBA SC, AL-MERRIKH YA SUDAN WAMFUKUZA KAZI KOCHA WAO MPYA
KATIKA kinachoonekana bado suala la Simba kuwapora kocha wao, Didier Gomez De Rosa, limewapa mchecheto, Al-Merrikh kumtimua kocha wao Miodrag Jesic, raia wa Serbia,...
YANGA WAFUNGUKIA ISHU YA USAJILI WA LUIS ANAYECHEZA SIMBA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa haukuwa na mpango wa kumsajili kiungo mwenye kasi ndani ya uwanja, mjanjamjanja ndani ya uwanja Luis Miquissone.Awali ilielezwa kuwa...
KMC KAZINI KESHO MBELE YA NAMUNGO FC
KOCHA Msaidizi wa timu ya KMC FC , Habibu Kondo amesema kuwa anakiamini kikosi chake katika kuelekea kwenye mchezo wa Kiporo dhidi ya Namungo...
MASAKA, OPAH WANAUTAKA UFALME WA FATUMA
KASI ya washambuliaji Opah Clement wa Simba Queens na Aisha Masaka wa klabu ya Yanga Princess kwenye Ligi Kuu ya Wanawake, inaashiria wazi kuwa...