AZAM WATAJA SABABU ZA KUPOKEA KICHAPO MBELE YA COASTAL UNION
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa haukuwa na chaguo la kufanya Uwanja wa Mkwakwani jana kwa kuwa uwanja haukuruhusu wacheze mipira ya chini jambo...
NYOTA WAZAWA WAWILI WAONGEZA AKAUNTI ZA MABAO,TIMU ZAO ZAGAWANA POINTI
NYOTA wa Kagera Sugar, Yusuph Mhilu ameongeza akaunti yake ya mabao kwa kufikisha jumla ya mabao matano kwenye Ligi Kuu Bara sawa na mshakiaji...
KOCHA YANGA APATA MUAROBAINI WA NYOTA WAKE KUTOFUNGA
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa jambo litakalomuongezea kasi mshambuliaji wake Michael Sarpong pamoja na Yacouba Songne kutupia mabao mengi ni kupokea...
SIMBA WAFICHUA MBINU WATAKAYOTUMIA KUIMALIZA AS VITA LEO
IKIWA leo Februari 12, Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, David Moyes itashuka Uwanja wa Mertedeys wa Congo kumenyana na Klabu ya AS Vita, wameweka...
NADO WA AZAM FC AINGIA ANGA ZA YANGA
KITENDO cha nyota wa Azam FC, Idd Seleman, ‘Nado’ kumtungua Aishi Manula na kutoa pasi moja kwenye mchezo huo kwa mshikaji wake Ayoub Lyanga...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
COASTAL UNION YALIPA KISASI KWA KUINYOOSHA AZAM FC,KIGONYA AMPATA SHUJAA MPYA
KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na George Lwandamina leo Februari 11 kimepoteza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union kwa kufungwa mabao...
YANGA YAIFUATA MBEYA CITY FULL MZIKI
MSAFARA wa watu 38 ukiwa na wachezaji 24 wa Yanga na viongozi 14 wa timu hiyo, leo Alhamisi utasafiri ku-wafuata Mbeya City kwa ajili...
UJUMBE WA SIMBA KWA AS VITA YA DR CONGO
UJUMBE wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara kuelekea mchezo wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita ya Congo Februari...