KMC YATIA TIMU RUKWA, KAMILI KUIVAA TANZANIA PRISONS
TIMU ya Manispaa ya Kinondoni, Jana, Februari 9 alfajiri ilisepa jijini Dar es Salaam kuelekea Mkoani Rukwa kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi...
AZAM FC KUMENYANA NA COASTAL UNION, LYANGA AREJEA NYUMBANI
KESHO kikosi cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina kitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Coastal Union. Msafara wa...
MEDDIE KAGERE:USHINDANI BONGO NI MKUBWA KILA IDARA
MTUPIAJI namba moja ardhi ya Bongo anayekipiga ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa ushindani umekuwa mkubwa kwa upande wa Ligi Kuu Bara kiujumla...
NYOTA YANGA PRINCESS AFIKIRIA MABAO 100
ASHA Masaka, 'Ashamabao' mshambuliaji wa timu ya Yanga Princess amesema kuwa kwenye kila mashindano huwa anafikiria kufunga mabao 100.Kwa sasa Kwenye Ligi ya Wanawake...
INGIZO JIPYA YANGA HATIHATI KUIVAA MBEYA CITY
BEKI wa kati Dickson Job ambaye ni ingizo jipya ndani ya kikosi hicho kuna hatihati ataukosa mchezo wa kwanza kwenye mzunguko wa pili dhidi ya...
SIMBA KUIBUKIA CONGO LEO,WAWILI KUIKOSA AS VITA
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Februari 10 kinatarajiwa kuendelea na safari kuelekea Congo kwa ajili ya mchezo wa Ligi...
NADO: UKITAKA KUWAFUNGA SIMBA FANYA HIVI
KIUNGO mshambuliaji wa kikosi cha klabu ya Azam, Idd Selemani Nado ‘Idd Nado’ amefunguka kuwa namna rahisi ya kuwafunga Simba ni kufanya maamuzi ya...
HAYA HAPA MAJUKUMU MAPYA YA CARLINHOS YANGA
KOCHA mkuu wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze ameamua kumbadilishia majukumu kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo raia wa Angola, Carlos Carlinhos kwa kumtoa katikati...
AZAM WAMETUKUMBUSHA MAPUNGUFU YETU
KOCHA mkuu wa klabu ya Simba, Didier Gomes Da Rosa amesema kuwa mchezo uliopita dhidi ya Azam umewasaidia kujua mapungufu waliyonayo na kuyafanyia kazi...
MABINGWA WATETEZI WA KOMBE LA SHIRIKISHO KUKUTANA NA AFRICAN LYON
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho, Simba wana kazi pia ya kutetea taji lao baada ya kutinga hatua ya 32 bora na leo wamejua...