MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili 

AZAM FC YAINYOOSHA KMC MABAO MATATU AZAM COMPLEX

0
 VIVIER Bahati,  kocha msaidizi wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa bado vijana wake wanazidi kuimarika jambo ambalo limewafanya waibuke na ushindi wa mabao...

JEMBE JIPYA YANGA LAANZA KAZI

0
 MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga,  Fiston Abdulazack tayari ameanza mazoezi ndani ya kikosi cha Yanga kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara...

KOCHA MAZEMBE : NITAMCHUKUA LARRY BWALYA KUTOKA SIMBA..!!

0
KOCHA Mkuu wa Timu ya TP Mazembe, Felix Mwamba amesema kikosi cha Simba kimejaa wachezaji wengi wazuri lakini akiambiwa kuchagua mmoja kati yao atamchagua...

ARSENAL vs MAN UNITED | Watch LIVE Here on HD

0
 Welcome for today Premier League match live from Emirates Stadium , Arsenal vs Man United , below is the links that you can choose...

SIMBA KUBADILI KIKOSI MBELE YA TP MAZEMBE AMBAO WATABADILI MFUMO KESHO

0
 KUELEKEA kwenye mchezo wa kilele cha mashindano ya Simba Super Cup, kesho Januari 31, Uwanja wa Mkapa Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Didier...

JKT TANZANIA KUCHEZA MECHI TATU ZA KIRAFIKI

0
KOCHA Mkuu wa Klabu ya JKT Tanzania Abdalah Mohamed,'Bares' amesema kuwa kwa sasa kikosi hicho kinaendelea na maandalizi kwa ajili ya mechi za Ligi...

KMC YAIPIGA MKWARA AZAM FC, YATAMBA KUITEMBEZEA PIRA SPANA

0
CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa Klabu ya KMC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya kuzilamba Ice Cream za wapinzani wao Azam FC kwenye...

MASAU BWIRE:NIOMBEENI,NIMEAMBIWA NIMEKULA CHAKULA CHENYE SUMU

0
 OFISA Habari wa Ruvu Shooting inayoshiriki Ligi Kuu Bara amewaomba Watanzania wamuombee kwa kuwa kwa sasa hali yake haijatengamaa kwa kile ambacho ameambiwa na...

KOCHA AZAM AIPIGA HESABU ZA KUIMALIZA SIMBA

0
KOCHA mkuu wa kalbu ya Azam, George Lwandamina ameongeza msisitizo wa program za mazoezi ya kujiandaa na mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya...