BUMBULI HAJARIDHIKA NA MAAMUZI YA KUFUNGIWA,SIMBA WATOA NENO

0
BAADA ya kufungiwa miaka mitatu kujihusisha na shughuli za mpira wa miguu ndani na nje ya nchi na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la...

BINGWA SIMBA SUPER CUP KUSEPA NA M 15,KESHO NI SIMBA V TP MAZEMBE

0
 UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa zawadi atakazopata bingwa wa michuano ya Simba Super Cup iliyoanza Januari 27, 2021 ni fedha taslimu shilingi milioni 15,...

DUBE: KWA BEKI HUYU, SIMBA WAMEPATA JEMBE

0
MSHAMBULIAJI hatari wa kikosi cha klabu ya Azam, Prince Dube amefungukia usajili wa beki mpya wa Simba raia wa Zimbabwe, Peter Muduhwa kwa kusema...

FISTON ATAJA SABABU YA KUSAINI DILI YANGA

0
FISTON Abdulazack, mshambuliaji mpya ndani ya kikosi cha Yanga amesema kuwa sababu kubwa ya kusaini mkataba ndani ya timu hiyo ni ukubwa wa timu...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi 

DILI LA KIUNGO MCONGO WA SIMBA LASHINDWA KUKAMILIKA

0
 DILI la kiungo, Doxa Gikanji raia wa Congo limekufa, kwa mujibu wa CEO wa Simba, Barbara Gonzalez.Barbara amesema kuwa kilichokwamisha dili hilo ni ITC...

AL HILAL YAIBAMIZA MABAO 2-1 TP MAZEMBE, SIMBA SUPER CUP

0
 KLABU ya Al Hilal leo Januari 29 imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya TP Mazembe kwenye mchezo wa Simba Super Cup uliochezwa...

TAMBO ZATAWALA GLOBAL FC VS DSTV

0
 JOTO limezidi kutanda kuelekea mechi ya kirafiki kati ya Global FC dhidi ya timu ya DSTV mchezo unaotarajiwa kupigwa kesho kutwa Jumapili kwenye Viwanja...

RATIBA YA VIPORO LIGI KUU BARA IPO NAMNA HII

0
 VIPORO vya Ligi Kuu Bara  kwa mujibu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzanai Bara itakuwa namna hii:-Dodoma Jiji v Simba, Februari 4, Uwanja wa...

MABONDIA WA NJE KINANUKA NEXT DOOR ARENA, LEO

0
DAKIKA 30 ndizo zitaamua bingwa wa WBF wa Mabara kati bondia Ibrahim Class na Dennis Mwale, leo Ijumaa kwenye Ukumbi wa Next Door Arena,...