ZUCHU KUTUMBUIZA KILELE SIMBA SUPER CUP
OFISA Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa msanii Zuchu ambaye anafanya vizuri na ngoma yake ya sukari atatumbuiza kwenye kilele cha Simba Super...
SARPONG APEWA ‘LAST CHANCE’ YANGA
INAELEZWA kuwa bado kocha wa Yanga, Cedrick Kaze anamatumaini na mshambuliaji wake, Michael Sarpong hivyo ameona anastahili nafasi nyingine tena ya kuonyesha makali yake...
MASAU BWIRE AKERWA NA “BUSHA” LA MORRISON
ILE staili ya ushangiliaji ya nyota wa Simba, Benard Morrison kwenye mchezo wa juzi dhidi ya Al Hilal ya Sudan imezua mijadala huko mitandaoni...
BREAKING:MTAMBO WA MABAO WATUA YANGA
MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Yanga, Fiston Abdulazack ambaye ni mtambo wa mabao leo Januari 29 amewasili rasmi ndani ya ardhi ya Bongo ili kujiunga...
A-Z JINSI YANGA WALIVYOTUMIA ZAIDI YA MILIONI 550 KUSHINDA MECHI ZA LIGI KUU
KUANZIA ilipoibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba, Machi 8, 2020, Yanga ndio timu ambayo imecheza idadi kubwa ya mechi bila kupoteza...
HIVI HAPA VIGINGI VITANO VYA SIMBA KWENYE CHAMPIONS LEAGUE 2021
SIMBA ndio wawakilishi pekee wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na ratiba ambayo Shirikisho la Soka la Afrika (Caf) liliyotoa mapema...
AL HILAL IPO TAYARI KUIKABILI TP MAZEMBE LEO KWA MKAPA
KOCHA Mkuu wa Klabu ya Al Hilal ya Sudan, Zoran Manojlovic amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo dhidi ya TP...
SIMBA:YANGA WANAMNGA’NGA’NIA MORRISON
BARBARA Gonzalez, Mtendaji Mkuu wa Simba amesema kuwa Yanga wanamnga'nga'nia mchezaji wao wa zamani Bernard Morrison.Nyota huyo ambaye alisaini dili la miaka miwili ndani...
AZAM FC KUPIMANA NGUVU NA KMC
ANAANDIKA Zakaria Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC Januari 30, 2021, Azam FC itacheza mechi ya kirafiki na KMC kwenye uwanja wa Azam Complex Chamazi.Mechi...
KOCHA TAIFA STARS: HAIKUWA BAHATI YETU
ETTIENNE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars amesema kuwa haikuwa bahati ya timu hiyo kuweza kutinga hatua ya robo...