MICHAEL SARPONG AAHIDI MABAO MZUNGUKO WA PILI
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mghana, Michael Sarpong amefunguka kitendo cha kurudi kwao Ghana wakati wa mapumziko kitamsaidia kubadilisha upepo mbaya wa kushindwa kufunga mabao katika...
UCHAGUZI WA SIMBA NI LEO,SIFA YA MPIGA KURA PIA NI KULIPA ADA
MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi wa Klabu ya Simba, Boniface Lihamwike amesema kuwa moja ya kigezo cha mwanachama kupiga kura ni kuwa amelipa ada...
ISHU YA DABI KUBADILISHWA TAREHE YANGA WATOA TAMKO
CEDRIC Kaze,Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga amesema kuwa haoni tatizo ya mechi yao dhidi ya watani wa jadi Simba kubadilishwa tarehe na Bodi...
NAMUNGO YAIPA NGUVU KMC YA KUANZIA MZUNGUKO WA PILI
CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa Klabu ya KMC amesema kuwa wachezaji wamekubaliana kuendelea kufanya vizuri kwenye mechi zao zijazo ndani ya Ligi Kuu Bara. Februari...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Jumapili
YANGA YAAMBULIA KICHAPO CHA BAO 1-0 DHIDI YA AFRICAN SPORTS, CHAMAZI
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa kichapo cha bao 1-0 walichokipata mbele ya African Sports Februari 6 ni sehemu ya mchezo.Ikiwa Uwanja...
KOCHA SIMBA KUIBUKIA KENYA
PATRICK Aussems raia wa Ubelgiji yupo Kenya kwa ajili ya kumalizana na Klabu ya AFC Leopards ili akabidhiwe mikoba ya kuinoa timu hiyo.Aussems ambaye...
NYOTA HAWA WANNE WA KIKOSI CHA KWANZA KUIKOSA AZAM FC KWA MKAPA
IKIWA leo Simba itashuka Uwanja wa Mkapa kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara kuna hatihati itawakosa...
NAMUNGO YAIVUTIA KASI RUVU SHOOTING
BAADA ya kupoteza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, Namungo inawavutia kasi wapinzani wao Ruvu Shooting inayonolewa na Charles Mkwasa kwenye mchezo...
HAJI MANARA: STRESS NADHANI ZIPO KWA YANGA,UCHAGUZI KUFANYIKA KESHO
OFISA Habari wa Klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa anaamini watani zao wa jadi Yanga, wana stress, (presha) kutokana na kuona timu hiyo...