WATATU WA AZAM FC KUIKOSA SIMBA KESHO KWA MKAPA
NYOTA watatu wa Azam FC wanatarajiwa kuukosa mchezo wa kesho dhidi ya Simba utakaochezwa Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku.Mchezo huo unatarajiwa...
LIVERPOOL YAPIGWA MARUFUKU KUKANYAGA UJERUMANI
MABINGWA wa England klabu ya Liverpool, haitaruhusiwa kuingia nchini Ujerumani kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa ulaya hatua ya 16 bora dhidi...
CHIKWENDE: AZAM WASUBIRI MOTO WANGU KESHO KWA MKAPA
BAADA ya kuonyesha kiwango bora akicheza mechi yake ya kwanza kwenye Ligi Kuu Bara, kiungo mshambuliaji wa Simba, Perfect Chikwende amefunguka kuwa mashabiki watarajie...
HIMID MAO ATUA ENTAG EL HARBY YA MISRI
KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao ‘Ninja’ amekamilisha dili la kujiunga na Entag El Harby FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Misri akitokea Enppi...
KUMUONA FISTON WA YANGA BUKU TATU
MASHABIKI wa Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Bara leo watakuwa na fursa ya kumuona nyota wao mpya, Fiston Abdol Razack kwa kiwango...
ISHU YA MABEKI WA SIMBA KURUDIA MAKOSA ITARUDISHA MABAO MATANOTANO KIMATAIFA
Anaandika Saleh Jembe WAKATI fulani huwa nawasikia baadhi ya viongozi hata mashabiki wakiwatuhumu baadhi ya wachezaji wao kuuza mechi.Mara nyingi ukitaka uthibitisho huwa hakuna zaidi...
AZAM FC KUTUMIA MBINU ZA MAZEMBE KUIUA SIMBA SC
UWEZO ulioonyeshwa na kikosi cha Azam FC kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya TP Mazembe, umelifanya benchi la ufundi la timu hiyo...
KAZE AIPA NAFASI SIMBA KUTUSUA KIMATAIFA
CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba wana nafasi ya kufanya vizuri ikiwa wachezaji wataamua...
KOCHA CHELSEA AFIKIRIA KUONGEZA BEKI WA KATI
INAAMINIKA kwamba nyota wa kikosi cha RB Leipzig, Dayot Upamecano ni miongoni mwa orodha ya majina yaliyopo kwenye mpango wa Kocha Mkuu wa Chelsea, ...
MTAMBO WA MABAO YANGA WATOA KAULI YA MATUMAINI KISA FISTON
YACOUBA Songne, mtambo wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga umesema kuwa uwepo wa nyota mpya, Fiston Abdoul Razack ndani ya kikosi hicho utawaongezea...