THOMAS ULIMWENGU ACHEKELEA KURUDI TANZANIA
THOMAS Ulimwengu nyota Mtanzania anayekipiga ndani ya kikosi cha TP Mazembe amesema kuwa anafurahi kurejea nyumbani akiwa na timu yake hiyo ya Congo.Ulimwengu amekuwa...
IBRA CLASS NA MMALAWI KUPIMA UZITO LEO, TAMBO ZATAWALA
MABONDIA Ibrahim Class na Dennis Mwale wa Malawi jana wameingia katika vita ya maneno walipokutana uso kwa uso kwa mara ya kwanza kabla ya pambano...
VIBALI VYA NYOTA MPYA WA SIMBA CHIKWENDE BADO, LOKOSA SAFI
UONGOZI wa Simba umesema kuwa bado haujapata vibali vya kumtumia mchezaji wao mpya, Perfect Chikwende,(ITC) kutoka Shirikisho la Soka la Zimbabwe ila wanaamini watavipata...
MTAMBO WA MABAO WA YANGA KUTUA LEO
MTAMBO mpya wa mabao ndani ya Klabu ya Yanga, Fiston Abdoul unatarajiwa kutua leo kwenye ardhi ya Bongo kwa ajili ya kujiunga na vinara...
AZAM FC:DUBE AMEPONA KWA SASA
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa mshambuliaji wao namba moja Prince Dube kwa sasa yupo fiti kwa ajili ya kuendelea kuonyesha uwezo wake ndani...
OLE: TUMEGADHABIKA KUPOTEZA POINTI TATU
OLE Gunner Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa wamegadhabika kwa matokeo ambayo wamepata usiku wa kuamkia leo kwa kunyooshwa mabao 2-1 dhidi...
GOMES : HUYU CHIKWENDE NI BALAA…, LUKOSA APEWE MUDA..!!
KOCHA mpya wa Simba, Didier Gomes ameukubali uwezo wa nyota mpya, Mzimbabwe Perfect Chikwende lakini akasema Mnigeria Junior Lokosa anahitaji muda.Kocha mpya wa Simba,...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi, lipo mtaani jipatie nakala yako
SARE YA MABAO 2-2 YAIFUNGASHIA VIRAGO CHAN TAIFA STARS
SARE ya mabao 2-2 kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itatufangashia virago jumlajumla kwenye michuano ya Chan, nchini Cameroon.Mabao kwa Tanzania yalifungwa...
YANGA WATAJA SABABU YA KUSAJILI VIJANA,KAZE ATOA NENO
MSHAURI Mkuu wa Yanga kuelekea kwenye mfumo wa mabadiliko, Senzo Mbatha amesema kuwa wameamua kuwaongeza vijana ndani ya timu ili kwenda na kasi ya...