RASMII…DIARA AANZA KUWATIA TUMBO JOTO YANGA….MABOSI WAGAWANYIKA…ANATAKA KUSEPA..
VIUNGA vya Jangwani mambo yanaonekana kana kwamba yamepoa, kikosi cha Yanga kikiwa mawindoni katika viwanja vya mazoezi kujiwinda na michezo iliyobaki kumalizia msimu huu...
BENCHIKA AFICHUA UZEMBE WA SIMBA KUMKOSA CAMARA NA KUMLETA BABACAR SARR….
HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa Wanasimba ambao juzi waliishuhudia timu yao ikivaana na RS Berkane ya Morocco katika pambano la marudiano ya fainali...
ALICHOKISEMA FADLU BAADA YA SIMBA ‘KUNYONGWA CAF’ JUZI….
SIMBA imeumia. Mashabiki wamebeba majonzi. Viongozi wamesalia na maswali. Lakini katikati ya huzuni hii nzito, moto mpya unawashwa Msimbazi. Moto wa mageuzi. Moto wa...
KISA AZIZ KI KUSEPA YANGA …HUKO SIMBA WATU NI TABASAMU MPAKA JINO LA MWISHO๐ ….
KITENDO cha Aziz KI kukubali dili la kutua Wydad, atakuwa anaweka kwenye waleti mshahara wa Sh72.3 milioni kwa mwezi. Ni mara mbili ya aliokuwa...
BAADA YA MAMBO YA CAF KUISHA….VITA IKO KWA AHOUA, DUBE NA MZIZE….DUA YA WOTE...
USHINDANI wa mastaa kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu umezidi kukolea na kusababisha mambo kuzidi kunoga. Lakini kuna kuna linakwenda kutokea kati ya wachezaji...
GATES OF OLYMPUS SASA NDANI YA MERIDIANBET!…
Karibu kwenye Ulimwengu wa Miungu - Ushindi ni wa Wenye Ujasiri!
Unasubiri nini? Zeus mwenyewe anakuita! Mchezo mpya wa Gates of Olympus sasa unapatikana ndani...
NANI KUKUPATIA MKWANJA WA MAANA LEO….
Leo ndio leo asemaye kesho muongo, mbivu na mbichi zinaenda kujulikana ambapo zile ligi 3 bora kati ya 5 Duniani zinaenda kumalizika leo. Timu...
AFRIKA KUSINI USO KWA USO NA TAIFA STAR….NGOMA KUCHEZWA UGENINI…
Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania โTaifa Starsโ itacheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Afrika Kusini โBafana Bafanaโ, Juni 6, mwaka...
WAKATI DR MWINYI AKIHAIDI MIL 260….HAYA HAPA MAMBO 5 YA KUIBEBA SIMBA KESHO…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ametembelea kambi ya timu na kupata nafasi ya kuongea na wachezaji...
KAPOMBE:- TUTAKACHOWAFANYA HAWATAAMINI KAMA WAKO KWA MKAPA ๐๐๐….
SIMBA ina mafaza wawili tu kwasasa na wote wapo kikosi cha kwanza. Shomari Kapombe na Mohammed Tshabalala.
Wamepigwa mishale mingi lakini bado wapo imara ndani...