RUVU SHOOTING YAWABANA WAJEDA MABATINI, WAACHA POINTI TATU
OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire ameweka wazi kwamba malengo yao makubwa kwa msimu huu wa 2020/21 ni kuweza kutwaa taji la Ligi...
NYOTA HAWA WA YANGA WANARUDI NYUMBANI CHAMAZI LEO
BAADA ya kupita kwa siku 1,023 kwa mara nyingine Yanga wanarudi katika Uwanja wa Azam Complex na mara ya mwisho kukipiga uwanjani hapo ilikuwa...
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AZAM FC
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Novemba 25 dhidi ya Azam FC mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanka wa Azam Complex.Mchezo huu unatarajiwa kuanza saa...
AZAM COMPLEX LEO NI VITA YA REKODI
LEO Uwanja wa Azam Complex, Azam FC itakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Yanga huku vita kubwa ikiwa ni kwa wachezaji kusaka...
SIMBA YATIA TIMU ABUJA
KIKOSI cha Simba ambao ni wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kimewasili Abuja kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa awali wa...
KINACHOISUMBUA YANGA KUFUNGA MABAO MENGI CHATAJWA
JUMA Mwambusi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa tatizo kubwa la washambuliaji wa kikosi hicho ni kukosa utulivu wakiwa ndani ya 18.Yanga ambayo imecheza...
YANGA NA AZAM FC ZINADAIWA MABAO ZAIDI YA 10 NA SIMBA
SAFU ya ushambuliaji ya Simba inayoongozwa na mzawa John Bocco imekuwa bora kwa msimu wa 2020/21 huku ikizipoteza zile za wapinzani wao Azam FC...
KWA MKAPA NI MWENDO WA SARESARE DAKIKA 270
DAKIKA 270 ulimwengu wa michezo umeshuhudia matokeo ya saresare kwa timu zote zilizoshuka Uwanja wa Mkapa kwa kupata matokeo yanayofanana kwenye mechi tatu mfululizo.Hakuna...
HIZI HAPA ZA LIGI KUU BARA LEO KUSAKA POINTI TATU
LEO Novemba 25 Ligi Kuu Bara inaendela kuchanja mbunga ambapo ni raundi ya 12 inaanza baada ya ile ya 11 kukamilika.Timu nane zitakuwa uwanjani...
BEKI WA YANGA MWAMNYETO AMFUNIKA MAGUIRE WA MANCHESTER UNITED
BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga ya Bongo amemfunika jumlajumla beki wa kati ya Klabu ya Manchester United, Harry Maguire katika kuweka lango...