VINARA WA UTUPIAJI NDANI YA UWANJA KATI YA AZAM FC V YANGA
HAWA hapa wametupia mabao mengi wakati Azam FC ilipomenyana na Yanga walipokutana ndani ya uwanja baada ya Azam FC inayonolewa na Aristica Cioba kwa...
BARCELONA YATINGA 16 BORA BILA MESSI
KLABU ya Barcelona imetinga hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Dynamo Kyiv...
MANCHESTER UNITED YATEMBEZA 4G, YAKIOA KISASI
Usiku wa kuamkia leo Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Instanbul Basaksehir katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya. Watupiaji kwa...
YANGA YAIPIGA MKWARA AZAM FC, NYOTA WAO HUYU MMOJA KUKOSEKANA
LEO Novemba 25, Yanga itakuwa Uwanja wa Azam Compex kusaka pointi tatu dhidi ya Azam FC mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao unatarajiwa kuwa...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
CHELSEA YATEMBEZA KICHAPO KWA RENNERS LIGI YA MABINGWA ULAYA
KLABU ya Chelsea, usiku wa kuamkia leo imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Renners.Olivier Giroud, nyota wa Cheksea alipachika bao la ushindi...
AZAM FC YAWEKA PEMBENI HISTORIA YA YANGA, YAZITAKA POINTI TATU
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa wanaitazama mechi yao ya kesho dhidi ya Yanga kipekee kwa kuweka hali ya hofu pembeni zaidi. Kocha Msaidizi wa...
SIMBA YATUA ETHIOPIA, KUWAFUATA WAPINZANI WAO KIMATAIFA KESHO
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba leo Novemba 24 wametia timu nchini Ethiopia ikiwa ni safari ya kuelekea Nigeria kwa ajili ya...
COASTAL WASEPA NA POINTI TATU ZA IHEFU, MABAO 7 YA SIMBA YANAWATESA
JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Coastal Union amesema kuwa mabao 7-0 waliyopata mbele ya ya Simba bado yapo kwenye vichwa vyao jambo ambalo linamfanya...
MUGALU YAMKUTA KWA SVEN, KAZE ANA JAMBO LAKE
KESHO ndani ya gazeti la Championi Jumatano usipange kukosa nakala yako