AZAM FC YAIPIGA MKWARA YANGA KUELEKEA NOVEMBA 25
BAADA ya kukubali kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa Uhuru na wana Kino Boys, KMC, vinara wa Ligi Kuu Bara Azam FC wameweka...
LUIS MIQUSSONE KINARA WA PASI ZA MWISHO BONGO AJIPA KAZI NGUMU
LUIS Miquissone ambaye ni kinara wa pasi za mwisho ndani ya Klabu ya Simba inayoongozwa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck amejipa kazi ngumu ya...
BERNARD MORRISON WA SIMBA APOTEZWA NA MZAWA JUMLAJUMLA
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba ambaye alisajiliwa kwa dili la miaka miwili akitokea Klabu ya Yanga amepata mbabe wake ambaye...
YANGA YAFUNGUKIA USAJILI WA MAJEMBE HAYA MAWILI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mpango wa kuboresha kikosi chao kuelekea kwenye dirisha dogo ambalo linatarajiwa kufunguliwa Desemba 15 upo mikononi mwa Kocha...
KOCHA NAMUNGO AWAPONGEZA WACHEZAJI WAKE
HEMED Morroco, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema kuwa wachezaji wake walipambana kusaka matokeo uwanjani hivyo wanastahili pongezi licha ya kuambulia pointi moja walipokuwa...
AZAM FC YAKUBALI MUZIKI WA WANA KINO BOYS
VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa walipoteza mbele ya KMC kwa kuwa walizidiwa mbinu hasa kwenye ubora jambo lililowafanya wapoteza mchezo...
HESABU ZA SIMBA NI KWA WANIGERIA, SVEN ATOA NENO
BAADA ya mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba kuweka rekodi yao ndani ya msimu wa 2020/21 kwa kupata ushindi wa mabao mengi...
MITAMBO YA MABAO YA SIMBA YAREJEA KIKOSINI
MITAMBO ya mabao ndani ya Klabu ya Simba, Meddie Kagere na Luis Miquissone imerejea na kuanza mazoezi pamoja na wachezaji wengine ndani ya kikosi...
MRUNDI WA SIMBA AVUTWA YANGA, NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu