MASHINE YA KAZI SIMBA YAUNGANISHWA KWENYE KIKOSI, RUKSA KUWAVAA COASTAL UNION

0
 BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck huenda atakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya Coastal...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa 

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa 

ISHU YA MABADILIKO NDANI YA SIMBA KUMBE SERIKALI HAIHUSIKI, YAWATAJA WANAOKWAMISHA MPANGO HUO

0
SUALA la mabadiliko ndani ya Simba limeleta sura mpya baada ya Serikali kujibu mapigo ya viongozi wa timu hiyo ambao waliweka wazi kwamba wanakwamishwa...

KESHO NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO

0
 KESHO ndani ya Championi Ijumaa usipange kukosa nakala yako mia nane tu

KOCHA SIMBA APATA TIMU YA KUFUNDISHA AFRIKA KUSINI

0
 DYLAN Kerr aliyewahi kuinoa Klabu ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara amepewa kibarua cha kuinoa timu ya Black Leopards ya...

YANGA V NAMUNGO NI VITA YA MAKOCHA WAPYA KWA MKAPA

0
 CEDRIC Kaze, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kikosi chake kipo tayari kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu...

NGORONGORO HEROES KAMILI GADO CECAFA

0
 JAMHURI Kiwhelo, ‘Julio’ Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes amesema kuwa wapo tayari kupeperusha bendera ya...

GWAMBINA FC YATUMA SALAMU ZAKE KWA WAJEDA

0
JACOB Masawe, nahodha wa Klabu ya Gwambina FC amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara wana imani watafanya...

YANGA WABISHI KINOMA, WAKOMALIA ISHU YA CHAMA

0
 LICHA ya mabosi wa Simba kuweka wazi kwamba kiungo bora ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2019/20 Clatous Chama ni mali yao...