SURE BOY ASEPA NA TUZO YA OKTOBA

0
 KIUNGO mshambuliaji wa Klabu ya Azam FC, Salum Abubakar 'Sure Boy', amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Azam FC Oktoba, 2020.Sure Boy ametwaa...

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII

0
 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa Azam FC ipo nafasi ya kwanza baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji, jana...

MANCHESTER UNITED YAKUBALI KUMUUZA POGBA

0
IMERIPOTIWA kuwa uongozi wa Klabu ya Manchester United kwa sasa upo tayari kumuuza kiungo wake Paul Pogba raia wa Ufaransa msimu ujao ili akatumike...

WAWILI WASEPA NA TUZO AFRIKA KUSINI MASHINDANO YA Cosafa

0
 NYOTA wawili Watanzania ikiwa ni mmoja kutoka Timu ya Taifa ya Tanzania ya U 17 na mmoja kutoka Twiga Stars wameibuka na tuzo mbili...

ORODHA YA NYOTA 27 WA TIMU YA TAIFA ILIYOITWA NA KOCHA MKUU NDAYIRAGIJE

0
 HII hapa Orodha ya wachezaji 27 wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars walioitwa na Kocha Mkuu Etiene Ndayiragije kwa ajili ya maandalizi...

KIBARUA CHA KOCHA MANCHESTER UNITED MASHAKANI

0
 KIBARUA  cha Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, huenda kikaota nyasi kutokana na mfululizo wa matokeo yasioridhisha.  Hatua hiyo inakuja  ikiwa baada ya...

WAKATI CARLINHOS AKIIKOSA SIMBA, NIYONZIMA AREJEA

0
 KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Carlinhos anatarajia kuukosa mchezo wa dabi ya Simba na Yanga utakaochezwa kesho huku kiungo Haruna Niyonzima, akirejea kwa nguvu...

ISHU YA VIPIGO VIWILI ILIWAVURUGA KWELI SIMBA

0
 JONAS Mkude, kiungo mkabaji ndani ya Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Sven Vandenbroeck, amesema kuwa vipigo viwili walivyopata kwenye mechi zao za...

MTIBWA SUGAR YAPANIA KUFANYA MAKUBWA 2020/21

0
 THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wana imani ya kufanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21 kutokana...

YANGA: TUNAUTAKA UBINGWA WA LIGI KUU BARA

0
 KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, amesema kuwa malengo yao wakiwa ni wachezaji msimu huu ni kuhakikisha wanaipatia ubingwa timu hiyo. Yanga msimu huu imeanza ligi...