KOCHA SIMBA AUFIKIRIA MUZIKI WA PLATEAU YA NIGERIA
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ndani ya kikosi hicho ni kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa...
STARS YAPANIA KUPINDUA MEZA KIBABE KWA MKAPA
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Etienne Ndayiragije amesema kuwa kupoteza mchezo mbele ya Tunisia ni somo watapambana kwenye mchezo wa marudio...
RIVARDO: BARCELONA LAZIMA IFANYE USAJILI WA WASHAMBULIAJI
GWIJI wa Klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Brazil, Rivaldo amesema kuwa klabu yake hiyo ya zamani inapaswa isajili washambuliaji wawili kwa...
FAINALI YA KIBABE KUCHEZWA LEO TANZANIA V ZAMBIA, ASHA ANAWAZA REKODI
LEO nchini Afrika Kusini inatarajiwa kuchezwa fainali ya mashindano ya Cosafa kati ya Tanzania na Zambia.Kwenye mchezo wa leo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa...
AUBAMEYANG MAMBO MAGUMU ARSENAL KWA SASA BAADA YA KUSAINI DILI
MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Pierre- Emerick Aubameyang ameendelea kuwashtua wengi kutokana na kiwango ambacho amekuwa akikionyesha msimu huu. Staa huyo ambaye misimu miwili iliyopita alifanikiwa kuibuka...
MWAKINYO AMCHAPA KWA TKO MUARGENTINA
HASSAN Mwakinyo, bondia Mtanzania amesema kuwa alijipanga kuibuka na ushindi mbele ya mpinzani wake Jose Carlos Pazi wa Argentina jambo lililompa ushindi. Bondia Mwakinyo usiku...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
STARS YABANWA MBAVU NA SUDAN YACHAPWA BAO 1-0
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imebanwa mbavu na kikosi cha Tunisia kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2022 nchini Cameroon.Bao pekee la...
SERIKALI YAITAKIA KILA LA KHERI STARS,MWAKINYO, KUANZA KUTENGA FEDHA
RAIS wa Jamhuri ya Tanzania, John Pombe Magufuli amesema kuwa anawatakia kheri wachezaji wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambayo ina mchezo...
KAZE, KOCHA BORA MWEZI OKTOBA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze, amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Oktoba msimu wa 2020/21.Kaze amewashinda Aristica Cioaba wa Azam FC na Francis...