ISHU YA CHAMA NGOMA NI NZITO, SIMBA WAJIBU KIBABE, YANGA WAKAZA
IMEELEZWA kuwa uongozi wa Simba umemalizana na kiungo Clatous Chama kwa kumpa dili la miaka miwili kutokana na kuhitaji huduma ya nyota huyo ambaye...
BOSI YANGA ATOA TAMKO KUHUSU UHASAMA WA KUHAMA SIMBA
BAADA ya Novemba 11, 2020, mshauri wa Klabu ya Yanga SC, Senzo Mazingisa, kuhojiwa na maofisa wa Polisi katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay kwa...
JEMBE JIPYA LA YANGA KUTUA KUANZA KAZI,NI MTAMBO WA MABAO
UONGOZI wa timu ya Yanga umesema kuwa unatarajiwa kumpokea mshambuliaji wao mpya Sadio Ntibazonkiza mara baada ya kumalizika kwa mapumziko ya mechi za timu...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
ISHU YA YANGA NA SIMBA IMEKWISHA SASA TUIPE SAPOTI TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
NOVEMBA 7, mwaka huu ilikuwa siku ndefu sana kwa wadau wa soka hapa nchini hii ni kutokana na ratiba ya mchezo mkali wa dabi...
YANGA:HATUNA PRESHA,TUTAZIDI KUPAMBANA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa hauna presha na mambo yote ambayo yanaendelea ndani ya Bongo kwa kuwa wamejipanga kufanya vema kwa msimu...
MZUNGUKO WA 10 KUNA MAMBO YA KUJIFUNZA, LIGI DARAJA LA KWANZA ISIPEWE KISOGO
MZUNGUKO wa 10 umekamilika na kila kitu kimekwenda kwa namna ambavyo mipango ilikuwa ni jambo jema kuona kwamba kila kitu kimekuwa sawa.Yale ambayo yametokea...
KOCHA UFARANSA: POGBA HANA FURAHA NDANI YA MANCHESTER UNITED
KOCHA wa timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps, amesema kiungo wa Manchester United, Paul Pogba, hana furaha na nafasi anayochezeshwa kwenye timu hiyo...
YANGA YAIPIGA KIJEMBE KIMTINDO SIMBA ISHU YA CHAMA
MENEJA wa kikosi cha Yanga, Hafidhi Saleh, amesema kuwa Yanga haihusiki kwa namna yoyote na makosa ya mwamuzi wa mchezo wa dabi, Abdallah Mwinyimkuu...
SIMBA YAPANIA KUFANYA MAKUBWA KIMATAIFA, WAPINZANI WAO WAPO SIO WAKUBEZA
UONGOZI wa Simba umeweka bayana kwamba utawashangaza wengi kwenye kazi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuwa wanaiwakilisha nchi kwenye mashindano makubwa jambo ambalo...