LIGI YA MABINGWA AFRIKA NI BALAA TUPU
LIGI ya Mabingwa Barani Afrika imeendelea mwishoni mwa wiki hii, ikiwa ni hatua ya nusu fainali kwa miamba ya soka Afrika ya Kaskazini Morocco...
MTIBWA SUGAR YAMSHUKURU KATWILA
BAADA ya jana, Oktoba 18 Zubeir Katwila aliyekuwa Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar kubwaga manyanga na kuibukia ndani ya Ihefu FC akiwa ni Kocha...
SPURS HAWAAMINI WANACHOKIONA
JOSE Mourinho, Kocha Mkuu wa Tottenham Hotspur amesema kuwa waliadhibiwa jana mbele ya West Ham United kwa kuamini kwamba wamemaliza kazi jambo lililowaponza wagawane...
KIKOSI CHA AZAM FC KILICHOPO MBEYA KWA AJILI YA MCHEZO WA LIGI DHIDI YA...
Kikosi cha Azam FC kilichopo Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu FC, kesho Oktoba 20, Uwanja wa Sokoine 1.Beko2.David3.Wadada4.Abdul5.Bruce6.Agrey7.Mudathir8.Djodi9.Chirwa10.Tigere11.Domayo12.Sebo13.Niyonzima14.Nado15.Daniel16.Akono17.Lyanga18.Yakubu19.Sure20.Prince
MIPANGO YA YANGA NI NOMA, WAPIGA TIZI LA MAANA
KAZI ya kuusaka ubingwa imeanza Yanga, hii ni baada ya kocha mpya wa kikosi hicho, Cedric Kaze kuanza kazi rasmi akiwa hataki utani hata...
SIMBA YAIFUATA TANZANIA PRISONS KWA MTINDO HUU
KIKOSI cha Simba leo Oktoba 19 kimeanza safari kuelekea Mbeya ambapo kitakaa kwa muda wa siku mbili kabla ya kuelekea Rukwa kwa ajili ya...
KOCHA MTIBWA AIBUKIA IHEFU
Zuber Katwila sasa ni Kocha Mkuu wa Ihefu baada ya kubwaga manyanga Mtibwa Sugar akichukua mikoba ya Maka Mwalwisi aliyefutwa kazi Oktoba 6.
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
KABLA YA YANGA NA SIMBA, MECHI ZAO ZA MOTO HIZI HAPA
NOVEMBA 7, Uwanja wa Mkapa ile mechi ambayo iliota mbawa Oktoba 18 sasa inatarajiwa kupigwa kwa watani hawa wa jadi kuweza kukutana ndani ya...
AZAM FC YATAKA KUSHINDA MECHI ZOTE
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kushinda mechi zote zilizobaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21...