KOCHA MTIBWA AIBUKIA IHEFU
Zuber Katwila sasa ni Kocha Mkuu wa Ihefu baada ya kubwaga manyanga Mtibwa Sugar akichukua mikoba ya Maka Mwalwisi aliyefutwa kazi Oktoba 6.
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
KABLA YA YANGA NA SIMBA, MECHI ZAO ZA MOTO HIZI HAPA
NOVEMBA 7, Uwanja wa Mkapa ile mechi ambayo iliota mbawa Oktoba 18 sasa inatarajiwa kupigwa kwa watani hawa wa jadi kuweza kukutana ndani ya...
AZAM FC YATAKA KUSHINDA MECHI ZOTE
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kushinda mechi zote zilizobaki ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2020/21...
MEDDIE KAGERE HATIHATI KUIKOSA YANGA NOVEMBA 7
MTUPIAJI namba moja ndani ya Bongo kwa misimu miwili mfululizo akiwa amefunga jumla ya mabao 49 ambapo alifunga mabao 23 msimu wa 2018/19 na...
KUMBE KIUNGO MPYA WA YANGA ALIWAGOMEA MWANZO
KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrundi, Said Ntibazonkiza, amesema timu hiyo ilianza kumfuatilia miezi miwili hadi mitatu iliyopita kabla ya kufikia makubaliano ya kusaini mkataba...
RATIBA YA MECHI ZA LIGI KUU BARA LEO OKTOBA 19
LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo Oktoba 19 kwa timu nne kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu ndani ya uwanja.Ratiba ipo namna hii:-JKT Tanzania...
POGBA BADO YUPOYUPO MANCHESTER UNITED
KOCHA Ole Gunnar Solskjaer amekanusha tetesi kuwa staa wake, Paul Pogba yupo njiani kujiunga na Real Madrid, baada ya mchezaji huyo kusema kuwa ana...
YANGA WABEBA IMANI KUBWA KWA KOCHA MPYA
KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema kuwa anaamini mbele ya kocha mpya wa timu hiyo, Cedric Kaze, kikosi chao kitafanya vizuri msimu...
TFF YATOA TAMKO KUHUSU NAMNA INAVYOSHUGHULIKIA KESI
SHIRIKISHO la Soka nchini (TFF) limeonesha kusikitishwa na baadhi ya taarifa zinazosambaa mitandaoni juu ya namna taasisi hiyo inashughulikia kesi zinazowasilishwa kwake na vilabu...